Mkurugenzi Mtendaji wilaya anapenda kuwatangazia kuhusu mabadiliko ya ushuru wa mifugo katika minada yote ndani ya wilaya
mabadiliko hayo ni kama ifuatavyo:-
Mifugo
|
Bei ya zamani
|
Bei Mpya
|
Ng'ombe
|
2000
|
5000
|
Mbuzi
|
1000
|
1500
|
Kondoo
|
1000
|
1500
|
Punda
|
500
|
1000
|
Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.