Kutokana na barua kutoka mikoani kuchelewa japo zilitumwa ndani ya muda wa maombi, halmashauri imetoa majina ya nyongeza ya waliokidhi vigezo vya kushiriki usaili utakaofanyika siku ya tarehe 02/10/2017. Aidha tumewatumia wahusika wapya wote taarifa hizi kwa sms ili wazipate haraka mno. Download the list here..pdf
Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.