Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ngorongoro Bwana Raphael John Siumbu anawatangazia wananchi wote kuwa Kuanzaia tarehe 15/03/2017 wananchi wote waliopata viwanja katika eneo la kitalu B wasso wakalipie. zoezi hili litakapokamilika viwanja vingine vitapimwa ili kuweza kuuza kwa jamii.
Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.