UJIO WA MADAKTARI BINGWA KUTOKA AUSTRIA KATIKA HOSPITALI YA WASSO
30 September 2017
Kutakuwa na daktari bingwa wa magonjwa ya njia ya mkojo(urologist) na moyo (cardiologist) katika hospitali ya wasso kuanzia tarehe 09/11/2017 hadi tarehe 30/11/2017.Pakua tangazo hapa.pdf