Wafuatao wamekidhi vigezo vya usaili uliofanyika tarehe 2/10/2017 hadi 4/10/2017 hivyo wamechaguliwa katika nafasi walizoomba. Mkurugenzi mtendaji wilaya ya ngorongoro anawapongeza kwa kuchaguliwa kwenu.
Taratibu nyingine za kiutumishi mtajulishwa baadaye. Endelea kutembelea tovuti hii mara kwa mara.Download the names here.pdf
Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.