• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhamira
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji na Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Kata
      • Loliondo
        • Ololosokwan
        • Soitsambu
        • Enguserosambu
        • Maalon
        • Oloirien Magaiduru
        • Piyaya
        • Orgosorok
        • Oloipir
        • Arash
      • Ngorongoro
        • Alailelai
        • Naiyobi
        • Olbalbal
        • Nainokanoka
        • Kakesio
        • Ngorongoro
        • Eyasi
        • Endulen
        • Ngoile
        • Alaitolei
        • Misigyo
      • Sale
        • Sale
        • Malambo
        • Digodigo
        • Oldonyosambu
        • Samunge
        • Pinyinyi
        • Kirangi
        • Engaresero
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezw
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

Idara ya Ujenzi

Idara ya ujenzi na zimamoto ni moja kati ya Idara 13 zinazoongoza Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro, ina vitengo vinne ambavyo ni Kitengo cha  Usimamizi wa Barabara, Kitengo cha Usimamizi wa Majengo, kitengo cha Ufundi na Zimamoto

Kitengo cha Usimamizi wa Barabara

 

Wilaya ya Ngorongoro ina jumla ya kilometa 806 za mtandao wa barabara. Kati yake Kilometa 492.1 ni za moramu na 313.9 ni za udongo 55.7 % ni barabara ambazo zinapitika bila changamoto kubwa, zipo kwenye hali nzuri, 18.6 % ni barabara zinazoridhisha kupitika na 41.4 % zipo katika hali mbaya, barabara zinazohitaji matengenezo makubwa. Wakati wa Msimu wa mvua takribani 60% ya barabara kuu ya wilaya na barabara zinazounganisha vijiji na vijiji zinapitika kwa tabu hivyo kurudisha nyuma maendeleo ya jamii.  Idara kupitia Bajeti ya mfuko wa Barabara inaendelea kutekeleza majukumu yake.

Kitengo cha Usimamizi wa Majengo

Kitengo hiki kinasimamia ubunifu na ujenzi wa majengo ya serikali, na taasisi za serikali pamoja na taasisi za jamii pamoja na ya wananchi. Pamoja na usimamizi huo, bado jamii haijatambua Umuhimu wa kuwatumia wahandisi wa Majengo katika kusimamia majengo yao na kutoa ushauri wa kitaalamu kabla ya ujenzi na wakati wa ujenzi. Hivyo Idara inatoa rai katika kutumia Wahandisi wa Halmashauri.

Kitengo cha Ufundi. 

Kitengo hiki kinahusika kuratibu karakana ya Halmashauri ikiwa ni pamoja na kutunza na kufanya matengenezo ya magari ya halmashauri na vifaa vyote vya usafiri vya Halmshauri. Pia kitengo kinahusika kuratibu utengenezwaji wa magari na vifaa vingine vya usafiri kwenye karakana ya TEMESA na karakana Binafsi.

Aina zingine za Usafiri na Mawasiliano ya Simu yaliyopo.

 

Wilaya ya Ina jumla ya  viwanja vidogo vya Ndege 15 ambavyo vinawezesha watalii kufika kwa haraka maendeo ya Utalii, na pia vinatumika kwenye uwezeshaji wa Madaktari na Wahudumu wa Afya kufika maeneo yasiyofikika kwa urahisi kwa ajili ya kutoa huduma za afya kama vile chanjo. Wilaya ina uwanja wa ndege mdogo mmoja tu ambao unapokea ndege kubwa. Uwanja unaomilikiwa na Kampuni ya Uwindaji ya OBC . Viwanja vingine vina uwezo wa kupokea ndege ndogo tu.

 

Huduma za mitandao ya Simu:

Huduma hii wilayani  Ngorongoro hutolewa na makampuni binafsi na shirika la Umma. Mpaka sasa Wilaya inahudumiwa na Makampuni manne ya simu ambayo ni Kampuni za Tigo, Airtel, Vodacom na Zantel. Aidha TTCL inahudumia Wilaya kwa mfumo wa mawasiliano ya Simu ya Mezani. Kwa maeneo machache ambayo yanakabiliwa na changamoto ya mawasiliano ya simu, Halmashauri kwa kushirikiana na wadau wa Maendeleo imefunga mfumo wa redio upepo kwenye kata na vijiji

Huduma ya Radio na Televisheni/Luninga 

Halmashauri ya wilaya ya Ngorongoro mpaka sasa haina kituo cha redio na Televisheni. Huduma hii inapatikana pale tu mwananchi atakapokuwa na kingamuzi. Aidha wananchi wengine hupata huduma hii nchi jirani ya Kenya ambapo husikiliza  vituo vya radio na TV za Kenya.

Huduma za Umeme

 

Wilaya ya Ngorongoro ni moja kati ya wilaya zinazopata huduma za umeme kwenye makao yake makuu. Umeme unaotolewa kwa njia ya jenereta, na wahudumu/wasambazaji wakuu ni Shirika la Umeme Tanzania, TANESCO. Kati ya tarafa tatu zinazounda wilaya ya Ngorongoro, ni Tarafa moja tu inayopata huduma ya Umeme kutoka TANESCO, Mji wa Wasso- Loliondo ndio unapata huduma hiyo. Baadhi ya Vijiji vingine vinapata huduma ya nishati ya umeme kutoka kwenye makampuni binafsi kama M POWER.

Matangazo

  • TANGAZO LA RATIBA YA UCHAGUZI NA UANDIKISHAJI WA UCHAGUZI. September 26, 2024
  • TANGAZO LA UANDIKISHAJI VIJANA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA. October 01, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI.2. September 29, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI. September 29, 2024
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • SERIKALI YAENDELEA KUTEKELEZA UJENZI WA MIUNDO MBINU NA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI NGORONGORO.

    January 12, 2026
  • DC SAKULO AITEMBELEA FAMILIA YA MWANAUME ALIYEPOTEA KWA KUZAMA MAJI KATA YA SAMUNGE.

    January 09, 2026
  • Wanafunzi 3,521 Wachaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza wilayani Ngorongoro 2026..

    January 09, 2026
  • DC SAKULO AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO, IKIWEMO CHUO CHA UWALIMU NGORONGORO.

    January 09, 2026
  • Tazama zaidi

Video

Afisa kilimo Ngorongoro aeleza na kufafanua namna ya kupata mazao yenye afya na mbegu bora kutumia katika kilimo.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2026
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2025/2026
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 NGORONGORO
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2023
  • Taarifa na Matangazo
  • Mikataba na Miongozo
  • Taarifa kwa Umma
  • Matokeo ya Upimaji darasa la Nne 2019
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA ELIMU YA KATI NA VYUO VYA UFUNDI JUNE 2019.

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Rais
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2025/-2026
  • NGORONGORO DC YOUTUBE CHANEL

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.