DOZI 44000 ZA CHANJO YA MIFUGO ZANUNULIWA NGORONGORO
Posted on: November 24th, 2024
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro imenunua jumla ya dozi 44,000 za chanjo kwaajili ya kuchanja mbuzi na kondoo ili kudhibiti ugonjwa wa homa ya mapafu (CPPP) kutoka kwa Wakala wa Maabara y...