Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya Ngorongoro anawatangazia wananchi wote kufanya usajili wa Asasi za Kijamii zilizopo kwenye Wilaya Ngorongoro ambazo hazijapata usajili. zoezi hilo litasimamiwa na Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana Bi. Teresia Aloyce Irafay katika ofisi za Halmashauri. usajiji huo utajumuisha asasi za kijamii na asasi za kiraia ambazo hazijapata cheti cha ukubalifu kutoka wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.
Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.