Monday 27th, March 2023
@KATA YA MALAMBO
Kundi la akinamama waliohamasika kupima afya zao wakiwa katika umoja wao kusubiria huduma.
Kundi la Wazee waliofika kwenye Kambi iliyoanza Kata ya Malambo kwaajili ya kupima afya
Timu ya madaktari wakiendelea na zoezi la kupima wananchi wa malambo katika kampeni ya FURAHA YANGU iliyoletwa na Mkapa Foundation
Wahudumu wakiendelea na huduma hadi nyakati za usiku zoezi liliendeshwa
Kaimu mganga mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro alipowatembelea na kubadilishana mawazo na watoa huduma katika kambi iliyowekwa Kata ya Malambo
Kaimu Mganga Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Dr. Mallange akipata huduma ya kupima pressure
Dr.Mallange ambae ni kaimu Mganga mkuu wa wilaya ya Ngorongoro akipatiwa huduma ya kupima Damu baada ya kutembelea kambi liyowekwa Kata ya Malambo
Kaimu mganga mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro akitoa maaelekezo na ushauri baada ya kupokea taarifa ya siku katika kambi iliyopo kata ya Malambo
Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.