Friday 27th, January 2023
@Wasso
Mganga Mfawidhi Hospitali Teule ya Wasso Dr. Emmanuel Malange Anawatangazia wananchi wote wa Wilaya ya Ngorongoro kuwa kutakuwa na madaktari bingwa wa magonjwa ya akina mama "gynaecologist" kutoka Nchini Marekani Madaktari hao watashirikiana na Hospitali Teule ya Wilaya - Wasso na Hospitali ya Mount Meru Kitengo cha CECAP kuanzia tarehe 25/04/2017 hadi Tarehe 18/05/2017. Ratiba ni kama ifuatavyo:-
Tarehe ya Kuanza Kazi
|
Tarehe ya Kumaliza Kazi |
Mahali
|
25/04/2017
|
08/05/2017
|
Hospitali Teule ya Wasso
|
08/05/2017
|
12/05/2017
|
Hospitali ya Endulen
|
Kwa Muda huo Uchunguzi wa saratani ya shingo ya kizazi na ziwa utafanyika kwa watakaofika, pia watakaokuwa na dalili za awali watapewa tibamgando.
Nyote Mnakaribishwa
Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.