Monday 27th, March 2023
@Ololosokwan na Engaresero
Mapokezi ya Mbio za Mwenge wa Uhuru wilayani Ngorongoro yanatarajiwa kufanyika Tarehe 12.09.2018 Klen's Gate katika Kata ya Ololosokwan kijiji cha Ololosokwan. Kauli mbiu kwa mwaka huu ni ‘Elimu ni ufunguo wa maisha, wekeza sasa kwa maendeleo ya Taifa' na Mwenge huo unatarajiwa kupitia miradi iliyopo katika kata za Ololosokwan, Soitsambu, Oloipir, Oloirien/Magaiduru, Orgosorok, Maalon, Samunge, Kirangi, Sale, Digodigo, Oldonyosambu Pinyinyi na Engaresero. Wananchi wote katika maeneo hayo wanaombwa kujitokeza kuulaki Mwenge huo.
Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.