1.HATUA YA KWANZA BOFYA HAPA
SALARY SLIP PORTAL
2.HATUA YA PILI BONYEZA KITUFE CHA REGISTER
3.HATUA YATATU JAZA MAELEKEZO KUJAZA CHECK NAMBA,MAJINA YAKO MATATU KISA BOFYA KITUFE CHA REGISTER
4.HATUA YA NNE JAZA MAELEKEZO JAZA MAELEKEZO KAMA YANAVYOONEKANA HAPO
5.BAADA YA KUMALIZA UTAPATA UJUMBE KWENYE BARUA PEPE YAKO.HUDUMA YA KUPATA SALARY SLIP ITAPATIKANA BAADA YA MASAA 24 BAADA YA KUJISAJILI
6.BAADA YA KUMALIZA KUJIUNGA BONYEZA KITUFE CHA SIGN IN INGIZA USER NAME AMBAYO NI CHECK NUMBER YAKO NA NAMBA YA SIRI ULIYOTUMIA KUJISAJILI
KWA MAELEKEZO ZAIDI PIGA 0763801111 AU 0684800007
Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.