Wilaya Ngorongoro ina utajiri mkubwa wa rasilimali ikiwemo misitu ya asili, wanyamapori na vivutio vya utalii. Aidha, kulingana na sheria ya Wanyamapori namba 12 ya mwaka 1974 na sheria namba 5 ya mwaka 2009 sehemu kubwa ya Wilaya Ngorongoro imehifadhiwa kwa mchanganuo ufuatao;-
Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.