• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhamira
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji na Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Kata
      • Loliondo
        • Ololosokwan
        • Soitsambu
        • Enguserosambu
        • Maalon
        • Oloirien Magaiduru
        • Piyaya
        • Orgosorok
        • Oloipir
        • Arash
      • Ngorongoro
        • Alailelai
        • Naiyobi
        • Olbalbal
        • Nainokanoka
        • Kakesio
        • Ngorongoro
        • Eyasi
        • Endulen
        • Ngoile
        • Alaitolei
        • Misigyo
      • Sale
        • Sale
        • Malambo
        • Digodigo
        • Oldonyosambu
        • Samunge
        • Pinyinyi
        • Kirangi
        • Engaresero
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezw
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

CHUO CHA UALIMU NGORONGORO KUANZA MWAKA WA MASOMO 2024

Posted on: November 16th, 2023

Kutokana na ongezeko la wanafunzi wanaoandikishwa kuanza darasa la awali, la kwanza na kidato cha kwanza mpaka cha tano, linalotokana na sera ya elimu bila malipo, serikali inawekeza nguvu katika ujenzi wa vyuo vya ualimu vya kati.


Halmashauri ya Ngorongoro ni miongoni mwa halmashauri zilizonufaika na mpango huo, kwakupata shilingi bilioni 3.4, kwa ajili ya ujenzi wa chuo cha Ualimu Ngorongoro, lengo likiwa ni kuzalisha walimu wa ngazi ya Cheti na Astashahada, walimu watakao kwenda kufundisha shule za msingi na sekondari.

Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mhe. John V.K.Mongella, amebainisha kuwa, serikali ya awamu ya sita, imedhamiria kuhakikisha, sekta ya elimu inajitosheleza ili wanafunzi wapate ujuzi na maarifa na kuja kuwa watalamu wabobezi wa kulitumikia Taifa la Tanzania.


"Ili kupata watalamu wenye ujuzi na maarifa, lazima uwekeze kwenye elimu na sekta mtambuka, tunafahamu elimu ndio nguzo mama ya maendeleo ya nchi yoyote dunia, Rais wetu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan yuko 'serious' na hili, ni jukumu letu watanzania, kumuunga mkono ili kufikia malengo ya serikali yetu"Amesema Mhe. Mongella

Ameongeza kuwa licha ya vijana wa kitanzania kunufaika na ujenzi wa chuo kwa kupata elimu, bado ni fursa kwa jamii nzima, wapo wengine watapata ajira, fursa za kibiashara kwa inayozunguka eneo hilo, lakini ongezeko la watu watakaofanya shughuli mbalimbali, litakaloleta mabadiliko ya kifkra, kiuchumi na kijamii pia.


Naye Mkurugenzi Mtendaji, halmashauri ya Ngorongoro, Nassor Shemzigwa, amethibitisha kuwa, uwepo wa chuo hicho wilayani hapo,  kitawapa fursa vijana wa eneo hilo kuvutika, kupata elimu ya uwalimu karibu na nyumbani, jambo ambalo kimsingi itawapunguzia wazazi gharama za kufuata elimu hiyo mbali kwa kuzingatia  Jiografia ya eneo hilo kuwa pembezoni kabisa mwa nchi ya Tanzania.

Amesema kuwa, ujenzi ukao katika hatua za mwisho za ukamilishaji, tunaendele kuwasimamia  mafundi kwenda kwa kasi,  ili majengo yakamilike, tunafuatilia usajili pamoja na hati miliki ya eneo hilo, tuna uhakika, mwaka ujao wa masomo chuo kianze kufanya kazi kama yalivyo makusudio ya serikali ya awamu ya sita ya mama yetu Samia Suluhu Hassan" Ameweka wazi Mkurugenzi huyo.


James Nyangusi, mkazi wa Ngorongoro, hakusita kuishukuru serikali ya awamu ya sita, kwa kuwajengea chuo hicho na kuongeza kuwa, Serikali ya mama Samia imeleta maendeleo makubwa Ngorongoro tofauti na hapo awali, walisahaulika kutokana na umbali.


"Tunamshukuru Mama Samia, tunamuombea kwa Mungu, ametupa miradi mingi sana, tunashangaa kila siku hela imeingia, ya kujenga shule, barabara, kituo cha afya, maendeleo yamekuwa mengi na kwa haraka, tunamuahidi kufanya kazi kwa bidii ili kazi iendelee kama anayosema mama yetu" Amesema Nyangusi


Awali mradi wa ujenzi wa chuo cha Ualimu Ngorongoro,  unatekelezwa na Serikali kwa gharama ya shilingi bilioni 3.4, kupitia mradi wa ESP chini ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na unatarajia kuanza kupokea wanafunzi mwaka ujao wa masomo.

Matangazo

  • TANGAZO LA RATIBA YA UCHAGUZI NA UANDIKISHAJI WA UCHAGUZI. September 26, 2024
  • TANGAZO LA UANDIKISHAJI VIJANA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA. October 01, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI.2. September 29, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI. September 29, 2024
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • KISIMA CHA MAJI SAFI KUCHIMBWA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA NGORONGORO

    April 25, 2025
  • ZIARA YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI TARAFA YA NGORONGORO.

    April 28, 2025
  • WANAFUNZI 576 WA KIDATO CHA SITA KUFANYA MTIHANI WA TAIFA NGORONGORO.

    May 06, 2025
  • MAFUNZO YA SHERIA NA UTAWALA BORA YATOLEWA KWA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA NGORONGORO.

    March 18, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Afisa kilimo Ngorongoro aeleza na kufafanua namna ya kupata mazao yenye afya na mbegu bora kutumia katika kilimo.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Upimaji darasa la Nne 2019
  • Taarifa na Matangazo
  • Mikataba na Miongozo
  • machapisho mbalimbali
  • Habari kwa umma
  • Taarifa kwa Umma
  • JINSI YA KUPATA SALARY SLIP
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA ELIMU YA KATI NA VYUO VYA UFUNDI JUNE 2019.
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 NGORONGORO

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Rais
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • NGORONGORO DC YOUTUBE CHANEL
  • MATOKEO YA UPIMAJI DARASA LA NNE 2019 WILAYA YA NGORONGORO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.