• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhamira
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji na Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Kata
      • Loliondo
        • Ololosokwan
        • Soitsambu
        • Enguserosambu
        • Maalon
        • Oloirien Magaiduru
        • Piyaya
        • Orgosorok
        • Oloipir
        • Arash
      • Ngorongoro
        • Alailelai
        • Naiyobi
        • Olbalbal
        • Nainokanoka
        • Kakesio
        • Ngorongoro
        • Eyasi
        • Endulen
        • Ngoile
        • Alaitolei
        • Misigyo
      • Sale
        • Sale
        • Malambo
        • Digodigo
        • Oldonyosambu
        • Samunge
        • Pinyinyi
        • Kirangi
        • Engaresero
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezw
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

DC SAKULO AFUNGUA ZOEZI LA KLINIKI YA TIBA MKOBA ZAHANATI YA ENGARASERO:.

Posted on: June 6th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro  Kanali Wilson Sakulo amefanya ufunguzi wa zoezi la tiba mkoba katika Zahanati ya Engarasero iliyopo kata ya Engarasero inayoendeshwa na Madaktari Bingwa Kutoka Marekani na Tanzania watakao toa Matibabu bure Kwa  Wakazi 4,000  wa Wilaya ya Ngorongoro, mkoani Arusha kwa muda wa siku tano wanaofanya kazi na Shirika la Worldserve International Tanzania.


Shirika la Wordserve International Tanzania lenye makao yake jijini Arusha kwa kushirikiana na wadau wake waitwao Hands of Hope waliopo chini ya huduma ya Joyce Meyer Ministries (Mwinjiisti wa Kimataifa wa Marekani), na Serikali ya Mkoa wa Arusha, wameanza kuendesha kliniki ya matibabu ya bure katika Kituo cha afya cha Engaresero, wilayani  Ngorongoro kuanzia tarehe 3 Juni, na kuhitimisha tarehe 7 Juni,  2024.

Mkuu wa Wilaya amesema Wananchi wamejitokeza kwa wingi ili kuweza kunufaika na huduma hiyo ya bure iliyoletwa na Shirika la Worldserve International na ametumia nafasi hiyo kuwashukuru Wananchi hao kwa kujali afya zao, pia amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuwajali Watanzania kwa kuruhusu na kuwakaribisha wageni wetu kutoa huduma za kiafya  kwa Wananchi wote wa Wilaya ya Ngorongoro na Wilaya za jirani.


Pia, Mhe. Kanali Sakulo ameyashukuru Mashirika ya Wordserve International Tanzania na Hands of Hope kwa kuamua kuleta huduma hii ya kiafya katika Wilaya ya Ngorongoro, kisha ameyaomba mashirika hayo kuleta vifaa vya tiba zaidi kama utra sound, X-ray, na vingine watakapokuja tena nchini.


"Niwashukuru sana kwa kuja na ninajua mnachokifanya ni kuisaidia Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baadala ya Watu wetu kwenda kupata huduma mjini nyie mmetusaidia wanaipata hapa" amesema Kanali Sakulo.


Aidha,  Bi. Victoria Kundansai ambaye ni Mratibu wa programu wa Shirika la Wordserve International Tanzania kwa niaba ya Mkurugenzi naye ameishukuru Serikali ya awamu ya sita kwa kuwawezesha msaada huo wa kuwafikia wananchi wa Engaresero bila kuwepo na vikwazo.

https://www.instagram.com/p/C74n3OktSB9/?igsh=MTZrYWd2bmNyYzdiMg==

Matangazo

  • TANGAZO LA RATIBA YA UCHAGUZI NA UANDIKISHAJI WA UCHAGUZI. September 26, 2024
  • TANGAZO LA UANDIKISHAJI VIJANA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA. October 01, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI.2. September 29, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI. September 29, 2024
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • NGORONGORO MSTARI WA MBELE KUHIMIZA MATUMIZI YA NISHATI SAFI.

    May 09, 2025
  • KISIMA CHA MAJI SAFI KUCHIMBWA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA NGORONGORO

    April 25, 2025
  • ZIARA YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI TARAFA YA NGORONGORO.

    April 28, 2025
  • WANAFUNZI 576 WA KIDATO CHA SITA KUFANYA MTIHANI WA TAIFA NGORONGORO.

    May 06, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Afisa kilimo Ngorongoro aeleza na kufafanua namna ya kupata mazao yenye afya na mbegu bora kutumia katika kilimo.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Upimaji darasa la Nne 2019
  • Taarifa na Matangazo
  • Mikataba na Miongozo
  • machapisho mbalimbali
  • Habari kwa umma
  • Taarifa kwa Umma
  • JINSI YA KUPATA SALARY SLIP
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA ELIMU YA KATI NA VYUO VYA UFUNDI JUNE 2019.
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 NGORONGORO

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Rais
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • NGORONGORO DC YOUTUBE CHANEL
  • MATOKEO YA UPIMAJI DARASA LA NNE 2019 WILAYA YA NGORONGORO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.