Katika kuelekea kwenye zoezi la utoaji matone ya vitamini A na dawa kinga za minyoo kwa watoto wenye umri wa miezi 6 hadi 59.
Wataalamu wa afya Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro wamejipanga kutekeleza vyema zoezi zima la kampeni hii kwa kuimarisha afya ya mtoto.
Hivyo ewe mzazi unakumbushwa kumpeleka mtoto wako katika kituo chochote cha afya kilicho karibu yako kwani wahudumu wa afya watakuwepo kukuhudumia.
https://www.instagram.com/p/DKRUQGQsGmO/?igsh=dnFobHBvZWZtZzQw
Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.