Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu, Afya na Huduma za Kijamii Mhe. Shutuk Kitamwas akiongozana na Waheshimiwa Wawili ambaye ni Mhe. Ferejiana Kefas, Mhe. Juliana Samawa pamoja na Afisa Elimu Sekondari Wilaya ya Ngorongoro Mwl. Emmanuel Sukumus kwaniaba ya Baraza la Madiwani leo tarehe 16 Februari 2024 wamefika katika Shule ya Sekondari Loliondo na kutoa msaada wa Mashuka, Blanketi na Sabuni.
Ikumbukwe mnamo tarehe 10 Januari, 2024 ajali ya moto ilitokea katika Shule hiyo.
Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.