• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhamira
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji na Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Kata
      • Loliondo
        • Ololosokwan
        • Soitsambu
        • Enguserosambu
        • Maalon
        • Oloirien Magaiduru
        • Piyaya
        • Orgosorok
        • Oloipir
        • Arash
      • Ngorongoro
        • Alailelai
        • Naiyobi
        • Olbalbal
        • Nainokanoka
        • Kakesio
        • Ngorongoro
        • Eyasi
        • Endulen
        • Ngoile
        • Alaitolei
        • Misigyo
      • Sale
        • Sale
        • Malambo
        • Digodigo
        • Oldonyosambu
        • Samunge
        • Pinyinyi
        • Kirangi
        • Engaresero
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezw
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

SERIKALI YATOA FEDHA BILIONI 19. 513 KUPELEKA UMEME KWENYE VITONGOJI 127 ARUSHA.

Posted on: February 4th, 2026

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla amesema Shilingi 19,513,813,347 zimetolewa ili kusambaza umeme kwenye Vitongoji 127 vya Majimbo sita ya Mkoa wa Arusha ikiwa ni utekelezaji wa mpango wa Rais Samia Suluhu Hassan ya kufikisha umeme kwenye Vitongoji vyote Mkoani Arusha mara baada ya kuwa Serikali imefikisha umeme kwenye Vijiji vyote 368.


Mhe. Makalla amebainisha hayo leo Jumanne Februari 04, 2026 Ofisini kwake Jijini Arusha alipotambulishwa Mkandarasi Nakuroi Investment Company Ltd, atakayetekeza mradi wa usambazaji umeme katika Vitongoji hivyo 127 kutoka katika Wilaya zote za Arusha.


“Kikubwa kwaniaba ya Wakuu wa Wilaya niwahakikishie ushirikiano Tanesco pamoja na Mkandarasi anayetekeleza mradi huu na niagize Mradi mmoja unapokamilika, uzinduliwe wananchi waanze kufaidika. Niagize pia kutumika kwa Vijana wa maeneo husika ili wapate ajira wakati wa utekelezaji wa mradi huu wa Umeme.” Amesisitiza Mhe. Makalla.


Kwa upande wake Mhandisi Erin Mhina, Mratibu wa miradi ya REA amemueleza Mhe. Makalla kuwa jumla ya wateja 4086 wataunganishwa na umeme katika mradi huu, akimshukuru Rais Samia kwa uwekezaji wake mkubwa katika miradi ya umeme Mkoani Arusha, akisema kando ya mradi huu wa sasa ipo miradi mingine 6 inayotekelezwa Mkoani hapa, yote ikigharimu Shilingi Bilioni 99.18.

Matangazo

  • TANGAZO LA RATIBA YA UCHAGUZI NA UANDIKISHAJI WA UCHAGUZI. September 26, 2024
  • TANGAZO LA UANDIKISHAJI VIJANA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA. October 01, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI.2. September 29, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI. September 29, 2024
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • SERIKALI YATOA FEDHA BILIONI 19. 513 KUPELEKA UMEME KWENYE VITONGOJI 127 ARUSHA.

    February 04, 2026
  • SIKU YA SHERIA YAADHIMISHWA WILAYANI NGORONGORO.

    February 02, 2026
  • SERIKALI YAENDELEA KUTEKELEZA UJENZI WA MIUNDO MBINU NA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI NGORONGORO.

    January 12, 2026
  • DC SAKULO AITEMBELEA FAMILIA YA MWANAUME ALIYEPOTEA KWA KUZAMA MAJI KATA YA SAMUNGE.

    January 09, 2026
  • Tazama zaidi

Video

Afisa kilimo Ngorongoro aeleza na kufafanua namna ya kupata mazao yenye afya na mbegu bora kutumia katika kilimo.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2026
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2025/2026
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 NGORONGORO
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2023
  • Taarifa na Matangazo
  • Mikataba na Miongozo
  • Taarifa kwa Umma
  • Matokeo ya Upimaji darasa la Nne 2019
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA ELIMU YA KATI NA VYUO VYA UFUNDI JUNE 2019.

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Rais
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2025/-2026
  • NGORONGORO DC YOUTUBE CHANEL

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.