• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhamira
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji na Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Kata
      • Loliondo
        • Ololosokwan
        • Soitsambu
        • Enguserosambu
        • Maalon
        • Oloirien Magaiduru
        • Piyaya
        • Orgosorok
        • Oloipir
        • Arash
      • Ngorongoro
        • Alailelai
        • Naiyobi
        • Olbalbal
        • Nainokanoka
        • Kakesio
        • Ngorongoro
        • Eyasi
        • Endulen
        • Ngoile
        • Alaitolei
        • Misigyo
      • Sale
        • Sale
        • Malambo
        • Digodigo
        • Oldonyosambu
        • Samunge
        • Pinyinyi
        • Kirangi
        • Engaresero
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezw
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

SIKU YA SHERIA YAADHIMISHWA WILAYANI NGORONGORO.

Posted on: February 2nd, 2026

Mahakama ya Wilaya ya Ngorongoro leo tarehe 2 Februari, 2026  imeadhimisha siku ya Sheria nchini katika ukumbi wa mikutano wa Mahakama ya Wilaya hiyo.


Maadhimisho hayo yamewakutanisha wananchi pamoja na wadau mbalimbali wakiwemo watumishi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro na watumishi wa Mahakama hiyo, kwa lengo la kusherehekea siku hiyo muhimu katika mfumo wa utoaji haki nchini.


Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, Mhe. Brigedia Jenerali Wilson Sakulo, amehudhuria maadhimisho hayo na kuungana na mgeni rasmi Mheshimiwa Bethsaida Steven Sivonike, Hakimu Mahakama ya Wilaya  hiyo.


Akizungumza wakati wa maadhimisho hayo, Mheshimiwa Sivonike alisema kuwa jukumu kuu la Mahakama ni kusikiliza mashauri na kutenda haki bila kujali hali ya mtu kijamii au kiuchumi, pamoja na kuhakikisha haki haitolewi kwa kuchelewa bila sababu za msingi.


Aliongeza kuwa Mahakama pia ina wajibu wa kutoa fidia stahiki kwa watu wanaoathirika kutokana na makosa ya watu wengine, kwa kuzingatia Sheria mahsusi zilizotungwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


"Katika kutekeleza jukumu lake la utoaji haki, Mahakama inaongozwa na dira isemayo, haki sawa kwa wote, mapema na ipasavyo"-amesema Mhe. Sivonike

Matangazo

  • TANGAZO LA RATIBA YA UCHAGUZI NA UANDIKISHAJI WA UCHAGUZI. September 26, 2024
  • TANGAZO LA UANDIKISHAJI VIJANA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA. October 01, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI.2. September 29, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI. September 29, 2024
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • SERIKALI YATOA FEDHA BILIONI 19. 513 KUPELEKA UMEME KWENYE VITONGOJI 127 ARUSHA.

    February 04, 2026
  • SIKU YA SHERIA YAADHIMISHWA WILAYANI NGORONGORO.

    February 02, 2026
  • SERIKALI YAENDELEA KUTEKELEZA UJENZI WA MIUNDO MBINU NA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI NGORONGORO.

    January 12, 2026
  • DC SAKULO AITEMBELEA FAMILIA YA MWANAUME ALIYEPOTEA KWA KUZAMA MAJI KATA YA SAMUNGE.

    January 09, 2026
  • Tazama zaidi

Video

Afisa kilimo Ngorongoro aeleza na kufafanua namna ya kupata mazao yenye afya na mbegu bora kutumia katika kilimo.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2026
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2025/2026
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 NGORONGORO
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2023
  • Taarifa na Matangazo
  • Mikataba na Miongozo
  • Taarifa kwa Umma
  • Matokeo ya Upimaji darasa la Nne 2019
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA ELIMU YA KATI NA VYUO VYA UFUNDI JUNE 2019.

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Rais
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2025/-2026
  • NGORONGORO DC YOUTUBE CHANEL

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.