• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhamira
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji na Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Kata
      • Loliondo
        • Ololosokwan
        • Soitsambu
        • Enguserosambu
        • Maalon
        • Oloirien Magaiduru
        • Piyaya
        • Orgosorok
        • Oloipir
        • Arash
      • Ngorongoro
        • Alailelai
        • Naiyobi
        • Olbalbal
        • Nainokanoka
        • Kakesio
        • Ngorongoro
        • Eyasi
        • Endulen
        • Ngoile
        • Alaitolei
        • Misigyo
      • Sale
        • Sale
        • Malambo
        • Digodigo
        • Oldonyosambu
        • Samunge
        • Pinyinyi
        • Kirangi
        • Engaresero
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezw
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

TUTAENDELEA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WALIMU-MAJALIWA.

Posted on: December 13th, 2024

Asema Rais Dkt. Samia anatambua na kuthamini kazi kubwa wanayoifanya


 WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuendelea kutatua changamoto za walimu zikiwemo za malimbikizo ya madeni na upandishaji wa madaraja.


 Amesema kuwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatambua, anathamini na kuheshimu kazi kubwa inayofanywa na walimu wote nchini katika kuhakikisha wanashiriki kikamilifu kukuza na kuiendeleza sekta ya elimu nchini.


Amesema hayo leo (Alhamisi, Desemba 12, 2024) alipomwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 19 wa Umoja wa Wakuu wa Shule za Sekondari (TAHOSSA) uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Jakaya Kikwete jijini Dodoma “Kwa sasa suala la stahiki za walimu linaendelea kuzingatiwa na Serikali imeendelea kufanya jitihada kubwa za kuhakikisha inapadisha madaraja watumishi walimu waliokosa na wanaopaswa kupandishwa, Serikali imedhamiria kuondoa msamiati wa arears (malimbikizo ya mishahara).”

 Amesema kuwa katika kipindi cha (mwaka 2021/2022 hadi mwaka 2023/2024), Serikali imepandisha madaraja ya walimu 227,383 na kuwabadilishia miundo walimu 20,436.“ Ofisi ya Rais-TAMISEMI hakikisheni kila anaepanda daraja analipwa stahiki zake kwa wakati.”


 Aidha, Waziri Mkuu amesema kuwa katika kipindi cha 2021/22 hadi 2023/24, jumla ya shilingi trilioni 1.76 zimetolewa na Serikali kwa ajili ya kuimarisha miundombinu ya shule ikiwemo ukarabati na ujenzi mpya. “Miundombinu hii imesaidia kwa kiasi kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia, kupunguza msongamano wa wanafunzi madarasani na adha ya wanafunzi kutembea umbali mrefu kwenda shuleni.”


 Akizungumzia kuhusu utekelezaji wa Sera ya Elimu bila Malipo, Mheshimiwa Majaliwa amesema kuwa Serikali imeendelea kutoa shilingi bilioni 33.3 kwa mwezi kwa ajili ya shule zote za Msingi na Sekondari za Serikali nchini ikiwa ni za uendeshaji wa shule pamoja na posho za madaraka.


 “Wakati tunaanza mpango huu mwaka 2015/16 kila mwezi ilikuwa inatolewa shilingi bilioni 13.46, hivyo ongezeko hili ni sawa na asilimia 147.26. Utaratibu huu umekuwa chachu ya kuimarisha uandikishaji na mahudhurio ya wanafunzi katika ngazi mbalimbali.”


Kadhalika, Mheshimiwa Majaliwa amesema Serikali kwa kutambua umuhimu wa masuala ya TEHAMA imeweka juhudi katika kujenga mifumo muhimu ya uendeshaji pamoja na mazingira wezeshi ya kisera, sheria na kitaasisi.


Kwa upande wake, Naibu Waziri Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Dkt. Festo Dugange amesema kuwa Ofisi ya Rais -TAMISEMI imejipanga kusimamia utekelezaji wa Sera na miongozo kwa ajili ya ustawi wa Sekta ya Elimu nchini.


Naye, Mwenyekiti wa Taifa wa TAHOSSA, Dennis Otieno John ameipongeza Serikali namna inavyosimamia uendelezaji wa Sekta ha elimu kwa kutekeleza mipango mbalimbali ikiwemo upandishaji mishahara, upandishaji madaraja na ujenzi wa miundombinu. “Tutaendelea kuiunga mkono Serikali kwa kutekeleza majukumu yetu ipasavyo.”


Matangazo

  • TANGAZO LA RATIBA YA UCHAGUZI NA UANDIKISHAJI WA UCHAGUZI. September 26, 2024
  • TANGAZO LA UANDIKISHAJI VIJANA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA. October 01, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI.2. September 29, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI. September 29, 2024
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • NGORONGORO MSTARI WA MBELE KUHIMIZA MATUMIZI YA NISHATI SAFI.

    May 09, 2025
  • KISIMA CHA MAJI SAFI KUCHIMBWA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA NGORONGORO

    April 25, 2025
  • ZIARA YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI TARAFA YA NGORONGORO.

    April 28, 2025
  • WANAFUNZI 576 WA KIDATO CHA SITA KUFANYA MTIHANI WA TAIFA NGORONGORO.

    May 06, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Afisa kilimo Ngorongoro aeleza na kufafanua namna ya kupata mazao yenye afya na mbegu bora kutumia katika kilimo.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Upimaji darasa la Nne 2019
  • Taarifa na Matangazo
  • Mikataba na Miongozo
  • machapisho mbalimbali
  • Habari kwa umma
  • Taarifa kwa Umma
  • JINSI YA KUPATA SALARY SLIP
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA ELIMU YA KATI NA VYUO VYA UFUNDI JUNE 2019.
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 NGORONGORO

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Rais
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • NGORONGORO DC YOUTUBE CHANEL
  • MATOKEO YA UPIMAJI DARASA LA NNE 2019 WILAYA YA NGORONGORO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.