• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhamira
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji na Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Kata
      • Loliondo
        • Ololosokwan
        • Soitsambu
        • Enguserosambu
        • Maalon
        • Oloirien Magaiduru
        • Piyaya
        • Orgosorok
        • Oloipir
        • Arash
      • Ngorongoro
        • Alailelai
        • Naiyobi
        • Olbalbal
        • Nainokanoka
        • Kakesio
        • Ngorongoro
        • Eyasi
        • Endulen
        • Ngoile
        • Alaitolei
        • Misigyo
      • Sale
        • Sale
        • Malambo
        • Digodigo
        • Oldonyosambu
        • Samunge
        • Pinyinyi
        • Kirangi
        • Engaresero
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezw
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

UFUNGWAJI WA MASHINE YA KUSAGA UNGA NA KUONGEZA VIRUTUBISHO VYA LISHE WILAYANI NGORONGORO:

Posted on: April 22nd, 2024

Mwakilishi wa Mkurugenzi Bw. Lawrence Ledio, Maafisa lishe  pamoja na wataalam mnamo tarehe 18 Aprili,  2024 waliambatana  kwa pamoja kushuhudia zoezi la ufungwaji wa mashine ya kisasa ya kusaga unga wenye virutubisho vya Lishe katika kiwanda kidogo Cha kuzalisha unga wa mahindi Cha mfanyabiashara Ally Karanjai.


Mashine hiyo imefadhiliwa na Kampuni ya SANKU Mkoa wa Arusha. Mwakilishi kutoka kampuni ya Sanku Bw. Kelvin Urasa ametoa Elimu ya namna ya kufunga na kutumia mashine hiyo.


Akizungumza wakati wa zoezi hilo Bw. Urasa ameeleza umuhimu wa kutumia mashine hiyo na faida ya matumizi ya unga wenye virutubisho kwa afya.


"Ni muhimu kutumia unga wa virutubisho wenye mchanganyiko wa madini ya Chuma, Zinki, Vitamini B 12 na Asidi ya Foliki"-Bw. Urasa


Naye mtaalamu wa Lishe Hospitali ya Wilaya ya Ngorongoro Bi. Angela Mbanga ametoa ufafanuzi na kuelezea faida ya unga wenye virutubisho kwa mtoto.


" Kutokana na virutubisho vilivyo katika  unga husaidia kusafirisha hewa ya oksijeni kwenda kwenye ubongo,  kutengeneza damu pia virutubisho hivi vinasaidia katika ukuaji wa mtoto na kuongeza nguvu kwenye misuli" Bi. Angela


Aidha Bi. Angela ameendelea kueleza umuhimu wa virutubisho hivi kwenye afya ya mtoto na kusema

"Virutubisho hivi ni muhimu na vitatusaidia sana kuboresha afya kwa Watoto wetu katika jamii zetu, hivyo ni muhimu kutoa virutubisho hivyo kwa Watoto mashuleni" ameongeza Bi. Angela


Kwa upande wake Mwakilishi wa Mkurugenzi Bw. Ledio ametoa shukrani kwa Meneja wa Kampuni ya SANKU kwa kuleta mashine hiyo Wilaya ya Ngorongoro.


"Tunashukuru kwa hatua hii ya awali kwani ndio mashine ya kwanza kufungwa katika Wilaya yetu, tumekua tukijadili kuhusu mashine za aina hii na leo tumeshuhudia ikifungwa tayari kwa ajili ya matumizi na itakwenda kusaidia kutoa huduma ya unga wa Lishe wenye  virutubisho ili kupunguza udumavu kwa Watoto pamoja na matatizo kwa akinamama wajawazito." Bw. Ledio


Ikumbukwe suala la Lishe limepewa kipaumbele na Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ili kuondoa hali ya udumavu kwa Watoto na kuboresha Afya ya Mama na mtoto.

https://www.instagram.com/p/C6Dep1UNAqs/?igsh=MXV5cDEydWdzeDZycQ==

Matangazo

  • TANGAZO LA RATIBA YA UCHAGUZI NA UANDIKISHAJI WA UCHAGUZI. September 26, 2024
  • TANGAZO LA UANDIKISHAJI VIJANA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA. October 01, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI.2. September 29, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI. September 29, 2024
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • NGORONGORO MSTARI WA MBELE KUHIMIZA MATUMIZI YA NISHATI SAFI.

    May 09, 2025
  • KISIMA CHA MAJI SAFI KUCHIMBWA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA NGORONGORO

    April 25, 2025
  • ZIARA YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI TARAFA YA NGORONGORO.

    April 28, 2025
  • WANAFUNZI 576 WA KIDATO CHA SITA KUFANYA MTIHANI WA TAIFA NGORONGORO.

    May 06, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Afisa kilimo Ngorongoro aeleza na kufafanua namna ya kupata mazao yenye afya na mbegu bora kutumia katika kilimo.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Upimaji darasa la Nne 2019
  • Taarifa na Matangazo
  • Mikataba na Miongozo
  • machapisho mbalimbali
  • Habari kwa umma
  • Taarifa kwa Umma
  • JINSI YA KUPATA SALARY SLIP
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA ELIMU YA KATI NA VYUO VYA UFUNDI JUNE 2019.
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 NGORONGORO

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Rais
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • NGORONGORO DC YOUTUBE CHANEL
  • MATOKEO YA UPIMAJI DARASA LA NNE 2019 WILAYA YA NGORONGORO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.