Mradi wa maji wa visima 10 uliyofadhiliwa na Benki ya dunia umetekelezwa katika vijiji vipatavyo 10. katika visima hivyo hadi sasa visima vipatavyo 6 vinatoa huduma ya maji.