Kutokana na kuwepo na rasilimali nyingi zenye mvuto wa kitalii, Halmashauri inategemea kupata mapato yake ya ndani kwa zaidi ya 80% kutoka kwenye sekta ya hii ya utalii.
Shuguli za kitalii ambazo hufanyika ni pamoja na utalii wa picha na uwindaji wa kitalii ambao unafanyika katika vitalu vya
Halmashauri hupata mapato kutoka Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) pamoja na shughuli za mahoteli na makambi ya kitalii zinazofanya shughuli za utalii katika eneo la wilaya ya Ngorongoro pamoja makusanyo ya ushuru wa geti la Ngarasero.
Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.