UMBALI WA MBIO |
WAHUSIKA |
NJIA |
KILOMETA 21
|
WANAUME
|
Kuanzia shule ya msingi wasso kupitia barabara ya sakala hadi loliondo NMB junction na kurudi shule ya msingi wasso kupitia barabara kuu.
|
KILOMETA 10
|
WANAWAKE
|
Kuanzia shule ya msingi wasso hadi shule ya msingi mama sara na kurudi shule ya msingi wasso.
|
KILOMETA 5
|
VIONGOZI
|
Kuanzia shule ya msingi wasso hadi ofisi ya mkuu wa wilaya na kurudi shule ya msingi wasso.
|
KILOMETA 2.5
|
WATOTO
|
Kuzunguka uwanja wa shule ya msingi wasso.
|
RATIBA ITAANZA MAPEMA SAA 12 ASUBUHI KARIBUNI SANA.
Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.