1 |
|
Huduma kuboreshwa na Maambukizi mapya ya ugonjwa na virusi vinavyosababisha ukimwi kupungua.
|
|
2.
|
|
Utekelezaji Mpango wa Taifa wa kupambana na rushwa unaimarishwa na kuwa endelevu.
|
|
3
|
|
Upatikanaji na ubora wa huduma za kijamii kuboreshwa
|
|
4
|
|
Idadi na ubora wa huduma za kiuchumi na na miundombinu kuongezeka
|
|
5
|
|
Kuimarika kwa Utawala bora na huduma za kiuongozi.
|
|
6
|
|
Ustawi wa jamii, Usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa jamii kuimarika.
|
|
7
|
|
Kuimarika kwa Usimamizi wa maliasili na mazingira.
|
|
8
|
|
Kuimarika kwa vyanzo endelevu vya mapato vya ndani.
|
|
Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.