• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhamira
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji na Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Kata
      • Loliondo
        • Ololosokwan
        • Soitsambu
        • Enguserosambu
        • Maalon
        • Oloirien Magaiduru
        • Piyaya
        • Orgosorok
        • Oloipir
        • Arash
      • Ngorongoro
        • Alailelai
        • Naiyobi
        • Olbalbal
        • Nainokanoka
        • Kakesio
        • Ngorongoro
        • Eyasi
        • Endulen
        • Ngoile
        • Alaitolei
        • Misigyo
      • Sale
        • Sale
        • Malambo
        • Digodigo
        • Oldonyosambu
        • Samunge
        • Pinyinyi
        • Kirangi
        • Engaresero
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezw
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO NDANI YA HIFADHI YA ENEO LA NGORONGORO SASA WAHAMISHIWA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGORONGORO.

Posted on: March 27th, 2020

UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO NDANI YA HIFADHI YA ENEO  LA NGORONGORO SASA WAHAMISHIWA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGORONGORO


Mkataba wa Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo ya Wananchi ndani ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro,  umesainiwa rasmi leo tarehe 26 mwezi Machi 2020 jijini Dodoma

kati ya Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro , Baraza la Wafugaji la wananchi wa Ngorongoro  na Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro,  


Mkataba huo unafuatia agizo la Serikali la kuitaka Mamlaka ya Hifadhi ya  Ngorongoro kuhamisha fedha zote zilizokuwa zinalipwa kwa Baraza la Wafugaji  la wananchi wa Ngorongoro  kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwenda Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro.


Baada ya mkataba huo kusainiwa mbele ya Waziri wa Maliasili na Utalii,  sasa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro ndiyo itakuwa mtekelezaji wa miradi ya maendeleo ndani ya Tarafa ya Ngorongoro na baraza la Wafugaji  watakuwa  wafuatiliaji wa utekelezaji wa miradi hiyo.


Ufuatiliaji huo pia utafanywa na Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro.


Katika mkataba huo,  kuna timu ya wataalam inayojumuisha wajumbe sita kutoka pande zote husika ( Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro,  Baraza la Wafugaji Eneo la Ngorongoro  na Halmashauri  ya Wilaya ya Ngorongoro).


Kamati hiyo itaongozwa na Mwenyekiti ambaye ni Meneja wa Maendeleo ya Jamii kutoka Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro na itahusisha wajumbe wengine Watano, ambapo wajumbe wawili watatoka kwenye Baraza la Wafugaji Eneo la  Ngorongoro , wawili kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro  na mmoja kutoka Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro.


Kuridhiwa na kusainiwa kwa Mkataba huo, kunatarajiwa kuwezesha utekelezaji mzuri wa miradi ya maendeleo kwa wananchi wanaoishi katika Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro.


Kusainiwa kwa Mkataba huo kumeshuhudiwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla ( Mb.) aliyekuwa Mwenyekiti wa mkutano huo,  Naibu Waziri wa Elimu,  Sayansi, na Teknolojia Mhe. William Ole Nasha, Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Prof. Adolf Mkenda, Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Dkt. Rashid Mfaume Taka, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro Mhe. Mathew Siloma na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro Prof. Abiud Kaswamila.


Wengine walioshuhudia kusainiwa kwa mkataba huo ni, Mwakilishi wa Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Bw. Abdalah Kiwango, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro, Bw. Raphael Siumbu na

Mwenyekiti wa Baraza la Wafugaji Eneo la Ngorongoro, Mhe. Maura Ole Ndule.

Matangazo

  • TANGAZO LA RATIBA YA UCHAGUZI NA UANDIKISHAJI WA UCHAGUZI. September 26, 2024
  • TANGAZO LA UANDIKISHAJI VIJANA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA. October 01, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI.2. September 29, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI. September 29, 2024
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • RC KIHONGOSI AKABIDHIWA OFISI RASMI.

    June 30, 2025
  • RC KIHONGOSI AWASILI ARUSHA.

    June 30, 2025
  • SERIKALI YATENGA BILIONI 11 KUBORESHA MIUNDOMBINU YA MICHEZO SHULENI.

    June 21, 2025
  • NGORONGORO YAVUKA ASILIMIA YA MAKUSANYO MWAKA WA FEDHA 2024/2025

    June 18, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Afisa kilimo Ngorongoro aeleza na kufafanua namna ya kupata mazao yenye afya na mbegu bora kutumia katika kilimo.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Upimaji darasa la Nne 2019
  • Taarifa na Matangazo
  • Mikataba na Miongozo
  • machapisho mbalimbali
  • Habari kwa umma
  • Taarifa kwa Umma
  • JINSI YA KUPATA SALARY SLIP
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA ELIMU YA KATI NA VYUO VYA UFUNDI JUNE 2019.
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 NGORONGORO

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Rais
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • NGORONGORO DC YOUTUBE CHANEL
  • MATOKEO YA UPIMAJI DARASA LA NNE 2019 WILAYA YA NGORONGORO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.