Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro imeshika nafasi ya kwanza upande wa riadha wavulana na wasichana mashindano ya UMITASHUMTA 2025 kwa ngazi ya mkoa.
Huku upande wa mpira wa mikono (handball) wasichana imeshika nafasi ya pili, mpira wa miguu nafasi ya pili, nafasi ya pili mpira wa Pete wasichana (Netball) iliyopeleka kushika nafasi ya pili kwa Halmashauri zote mkoa wa Arusha nyuma Halmashauri monduli iliyoshika nafasi ya kwanza.
Aidha, matokeo hayo imepelekea Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro imejikusanyia jumla ya medali 56 kati ya medali 72, huku jumla ya wachezaji 17 wamechaguliwa kujiunga na timu ya itakayowakilisha Mkoa wa Arusha katika ngazi ya Taifa.
https://www.instagram.com/p/DKbtE8iMRdC/?igsh=MTh3d2RhdzNtamxqNg==
Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.