Pichani ni Mbuge wa viti maalumu Mkoa wa Arusha Mhe. Zaytun Swai(katikati) leo tarehe 5 Machi 2025 alipotembelea banda maonyesho la Halmashauri ya Wilaya Ngorongoro mjini Arusha kama sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani.
Ikiwa leo ni siku ya tano tangu kuanza kwa maadhimisho hayo kuelekea kilele chake ambacho kitakua siku ya jumamosi ya tarehe 8 Machi, 2025 ambapo yatafanyikia katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha.
Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.