Baraza la Wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro limefanya mapitio ya Mpango wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 ikiwemo fedha za Mapato ya Ndani, Ruzuku kutoka serikalini pamoja na Wafadhili mbalimbali wa maendeleo
Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro kwa mwaka wa Fedha 2024/2025 kimefanyika katika Ukumbi wa Halamshauri ya Wilaya ya Ngorongoro leo tarehe 9 Februari 2024
Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.