• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhamira
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji na Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Kata
      • Loliondo
        • Ololosokwan
        • Soitsambu
        • Enguserosambu
        • Maalon
        • Oloirien Magaiduru
        • Piyaya
        • Orgosorok
        • Oloipir
        • Arash
      • Ngorongoro
        • Alailelai
        • Naiyobi
        • Olbalbal
        • Nainokanoka
        • Kakesio
        • Ngorongoro
        • Eyasi
        • Endulen
        • Ngoile
        • Alaitolei
        • Misigyo
      • Sale
        • Sale
        • Malambo
        • Digodigo
        • Oldonyosambu
        • Samunge
        • Pinyinyi
        • Kirangi
        • Engaresero
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezw
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

DC MWANGWALA ASISITIZA NIDHAMU NA UTII KUWA NGUZO YA UWAJIBIKAJI,KWA WATUMISHI IDARA YA AFYA.

Posted on: September 15th, 2023


Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Mhe.Raymond Mwangwala amewaagiza watumishi wa Idara ya Afya kufanya kazi kwa weledi kwa kuzingatia taratibu na kanuni za kazi ili kuweza kuihudumia jamii inayowazunguka ipasavyo.


Amesema hayo  tarehe 14 Septemba 2023 alipokuwa akifungua  kikao cha kawaida cha utendaji  na tathimini  kichofanyika katika ukumbi wa Hospitali ya Wilaya ya Karatu ambapo amewaonya na kuwataka  watumishi kuwa na matamshi yenye lugha nzuri kwa wateja (jamii) pindi wanapowapokea na kuwahudumia huku akisisitiza madaktari na manesi (senior) wazoefu, kuwaelekeza vijana hao (Juniors) namna ya kufanya kazi na kuwasiliana na jamii wanayoihudumia.


“Kila mmoja afanye kazi kwa kufuata taratibu na kanuni kwa kuzingatia miiko ya kazi,na kuwa na  nidhamu kazini” alisema Mwangala


Pia amewagiza waganga wafawidhi  kuhakikisha wanasimamia ukusanyaji mapato katika vituo vya kutolea huduma  na Kupeleka bank Kwa usalama zaidi fedha zilizopatikana Ili baadae ziweze kuisaidia kukamilisha miradi maendeleo inayoendelea.


"Mkasimamie Mifuko wa Bima ya Afya iCHF/NHIF na mapato ya Papo kwa papo ,kuhakikisha wanachama wanajiunga na kupata Huduma,na madai ya bima yatumwe kwa wakati ili vituo viweze kupata fedha za  kujiendesha"alisema Mhe.Mwangwala


Mganga Mkuu wa Wilaya Dkt Revocutus Ndyekobora mewataka watumishi wote wa Idara hiyo  kuheshimu Uongozi uliopo madarakani, kukubali mabadiliko yaliyopo na kuwa tayari kuendana nayo ili kuhakikisha kazi zinakwenda kama kanuni zinavyoelekeza ikiwa ni pamoja na kufanya kazi kwa kushirikiana (team work).


“ Vunjeni makundi yanaharibu kazi ,heshimuni mamlaka iliyopo madarakani na kuitii huo ndio utumishi wa UMMA”alisema Dkt Dyekobora


Matangazo

  • TANGAZO LA RATIBA YA UCHAGUZI NA UANDIKISHAJI WA UCHAGUZI. September 26, 2024
  • TANGAZO LA UANDIKISHAJI VIJANA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA. October 01, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI.2. September 29, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI. September 29, 2024
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • KISIMA CHA MAJI SAFI KUCHIMBWA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA NGORONGORO

    April 25, 2025
  • ZIARA YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI TARAFA YA NGORONGORO.

    April 28, 2025
  • WANAFUNZI 576 WA KIDATO CHA SITA KUFANYA MTIHANI WA TAIFA NGORONGORO.

    May 06, 2025
  • MAFUNZO YA SHERIA NA UTAWALA BORA YATOLEWA KWA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA NGORONGORO.

    March 18, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Afisa kilimo Ngorongoro aeleza na kufafanua namna ya kupata mazao yenye afya na mbegu bora kutumia katika kilimo.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Upimaji darasa la Nne 2019
  • Taarifa na Matangazo
  • Mikataba na Miongozo
  • machapisho mbalimbali
  • Habari kwa umma
  • Taarifa kwa Umma
  • JINSI YA KUPATA SALARY SLIP
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA ELIMU YA KATI NA VYUO VYA UFUNDI JUNE 2019.
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 NGORONGORO

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Rais
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • NGORONGORO DC YOUTUBE CHANEL
  • MATOKEO YA UPIMAJI DARASA LA NNE 2019 WILAYA YA NGORONGORO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.