• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhamira
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji na Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Kata
      • Loliondo
        • Ololosokwan
        • Soitsambu
        • Enguserosambu
        • Maalon
        • Oloirien Magaiduru
        • Piyaya
        • Orgosorok
        • Oloipir
        • Arash
      • Ngorongoro
        • Alailelai
        • Naiyobi
        • Olbalbal
        • Nainokanoka
        • Kakesio
        • Ngorongoro
        • Eyasi
        • Endulen
        • Ngoile
        • Alaitolei
        • Misigyo
      • Sale
        • Sale
        • Malambo
        • Digodigo
        • Oldonyosambu
        • Samunge
        • Pinyinyi
        • Kirangi
        • Engaresero
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezw
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

"HAKIKISHENI MNAKAMILISHA UJENZI WA BARABARA YA SOITSUMBU – LOSIRWA -KIRTALO NA MAIROWA- NJOROI" RC MONGELLA

Posted on: November 11th, 2023

 Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. John V.K. Mongella, amekagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Soitsumbu Losirwa -Kirtalo na Mairowa - Njoroi, zinazojengwa kwa fedha za ufadhili kutoka Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) kupitia Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kwenye Mradi wa Uhifadhi na Maendeleo wa Mfumo wa Ikologia wa Serengeti.


 "Licha ya kuwa mmeongezewa muda wa utekelezaji wa mradi, hakikisheni mnakamilisha mradi huo kwa wakati, ili kuondoa kero zinazowakabili wananchi na zaidi kutimiza adhma ya Serikali ya kuhakikisha barabara zinapitika kipindi chote cha mwaka"Amesisitiza Mhe. Mongella 

Akiwasilisha taarifa ya mradi, msimamizi wa mradi huo, Mhandisi Richard Mwakasitu amesema kuwa, ujenzi huo wa barabra, unatekelezwa kwa gharama ya shilingi bilioni 1.9, ukijumuisha ujenzi wa barabara za Soitsumb - Losirwa mpaka Kirtalo yenye urefu wa Km 12.6 na barabara ya Mailowa - Njoroi yenye urefu wa Km 11, kwa kiwango cha moramu, mradi ambao unatarajia kukamilika mwishoni mwa mwezi Desemba 2023.

Matangazo

  • TANGAZO LA RATIBA YA UCHAGUZI NA UANDIKISHAJI WA UCHAGUZI. September 26, 2024
  • TANGAZO LA UANDIKISHAJI VIJANA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA. October 01, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI.2. September 29, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI. September 29, 2024
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • DED NGORONGORO AWAONGOZA WATUMISHI KSHIRIKI ZOEZI LA USAFI HOSPITALI YA WILAYA

    August 13, 2025
  • MAFUNZO YA SIKU 3 KWA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA NGORONGORO.

    August 05, 2025
  • JIFUNZE MBINU ZA KILIMO BORO KWENYE BANDA LA KILIMO LA HALMASHAURI YA WILAYA NGORONGORO MAONESHO YA NANE NANE 2025

    August 03, 2025
  • WANAFUNZI SHULE YA MSINGI MAIROWA WANUFAIKA NA KILIMO CHA BUSTANI YA MBOGA MBOGA.

    July 31, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Afisa kilimo Ngorongoro aeleza na kufafanua namna ya kupata mazao yenye afya na mbegu bora kutumia katika kilimo.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Upimaji darasa la Nne 2019
  • Taarifa na Matangazo
  • Mikataba na Miongozo
  • machapisho mbalimbali
  • Habari kwa umma
  • Taarifa kwa Umma
  • JINSI YA KUPATA SALARY SLIP
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA ELIMU YA KATI NA VYUO VYA UFUNDI JUNE 2019.
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 NGORONGORO

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Rais
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • NGORONGORO DC YOUTUBE CHANEL
  • MATOKEO YA UPIMAJI DARASA LA NNE 2019 WILAYA YA NGORONGORO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.