• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhamira
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji na Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Kata
      • Loliondo
        • Ololosokwan
        • Soitsambu
        • Enguserosambu
        • Maalon
        • Oloirien Magaiduru
        • Piyaya
        • Orgosorok
        • Oloipir
        • Arash
      • Ngorongoro
        • Alailelai
        • Naiyobi
        • Olbalbal
        • Nainokanoka
        • Kakesio
        • Ngorongoro
        • Eyasi
        • Endulen
        • Ngoile
        • Alaitolei
        • Misigyo
      • Sale
        • Sale
        • Malambo
        • Digodigo
        • Oldonyosambu
        • Samunge
        • Pinyinyi
        • Kirangi
        • Engaresero
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezw
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

HALMASHAURI YAPONGEZWA

Posted on: March 24th, 2017

Halmashauri yapongezwa kwa jitihada za kuwezesha Vikundi vya Vijana na Wanawake.

Mkurugenzi Mtendaji, Bw Raphael J. Siumbu amepongezwa na Waheshimiwa Madiwani kwa jitihada za kuwezesha Vikundi kwa kutenga asilimia 10 ya mapato ya ndani. kwa.  Hayo yamesemwa kwenye mkutano wa baraza la madiwani uliofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri mnamo tarehe 24/03/2017.

‘kwa kweli Mkurugenzi amejitahidi kusimamia agizo la serikali , tumeona mabadiliko makubwa mara tu alipoanza kazi kwani miaka ya nyuma wanawake na vijana walikuwa hawapewi fursa ya kuwezeshwa kwani fedha zilikuwa hazitolewi zote’ alisema mmoja wa madiwani alipohojiwa. Alipongeza serikali ya awamu ya tano kwa jitihada zake za kuhakikisha wanawake na vijana wanashiriki katika kukuza uchumi wa viwanda.

Jumla ya vikundi 22 vya wanawake na vijana vimewezeshwa kiasi cha Tsh 66,000,000/= kwa mwaka huu wa fedha 2016/2017. Mkurugenzi huyo ameahidi kuendelea kutekeleza agizo la serikali kwa vitendo, ikiwa ni pamoja na kuendelea kutoa fursa zaidi kwa ajili ya kuwafikia wananchi wengi zaidi kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii.

Aidha Afisa Maendeleo ya Jamii, Bw Tomas Nade ambae ni Mratibu wa Mikopo na Afisa Vijana ametoa rai kwa wanufaika wa mikopo hiyo kufanya kazi kwa bidii na maarifa na kuhakikisha wanafuata taratibu za marejesho ya fedha hizo ili vikundi vingine vinufaike na fursa hiyo ya mikopo yenye riba nafuu inayotolewa na Halmashauri.

Wakati huo huo, Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii, Bi Teresia A Irafay ameahidi kuendelea kubuni mifumo mbalimbali ya uwezeshaji vikundi na kusimamia kwa karibu mifumo hiyo ya kuwezesha wananchi kupitia Vikundi mbalimbali vya COCOBA na VICOBA pia kusimamia utoaji wa elimu ya ujasiriamali kupitia wataalamu wake na kushirikiana na Idara zote za Halmashauri, Mashirika ya Umma, Wawekezaji pamoja na Mashirika yasiyo ya Serikali katika kuhakiksha vijana na wanawake wanapata fursa za uwezeshaji wenye tija. Aidha amesisitiza wananchi wajiunge kwenye vikundi kwa hiari yao,  wabuni miradi yao, wasajili vikundi kupitia ofisi yake ili waweze kutambulika rasmi hatimae kurasimisha shughuli zao.

Matangazo

  • TANGAZO LA RATIBA YA UCHAGUZI NA UANDIKISHAJI WA UCHAGUZI. September 26, 2024
  • TANGAZO LA UANDIKISHAJI VIJANA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA. October 01, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI.2. September 29, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI. September 29, 2024
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • NGORONGORO MSTARI WA MBELE KUHIMIZA MATUMIZI YA NISHATI SAFI.

    May 09, 2025
  • KISIMA CHA MAJI SAFI KUCHIMBWA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA NGORONGORO

    April 25, 2025
  • ZIARA YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI TARAFA YA NGORONGORO.

    April 28, 2025
  • WANAFUNZI 576 WA KIDATO CHA SITA KUFANYA MTIHANI WA TAIFA NGORONGORO.

    May 06, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Afisa kilimo Ngorongoro aeleza na kufafanua namna ya kupata mazao yenye afya na mbegu bora kutumia katika kilimo.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Upimaji darasa la Nne 2019
  • Taarifa na Matangazo
  • Mikataba na Miongozo
  • machapisho mbalimbali
  • Habari kwa umma
  • Taarifa kwa Umma
  • JINSI YA KUPATA SALARY SLIP
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA ELIMU YA KATI NA VYUO VYA UFUNDI JUNE 2019.
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 NGORONGORO

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Rais
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • NGORONGORO DC YOUTUBE CHANEL
  • MATOKEO YA UPIMAJI DARASA LA NNE 2019 WILAYA YA NGORONGORO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.