Wageni mbalimbali wakipatiwa elimu ya kilimo na uvunaji wa asali pamoja na faida ya matumizi ya asali katika mwili wa mwanadamu pamoja na ambavyo kilimo kinaweza kumuinua mwananchi kiuchumi katika Banda la kilimo la Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro kwenye maonyesho ya Nane Nane Themi Njiro, jijini Arusha.
Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.