• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhamira
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji na Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Kata
      • Loliondo
        • Ololosokwan
        • Soitsambu
        • Enguserosambu
        • Maalon
        • Oloirien Magaiduru
        • Piyaya
        • Orgosorok
        • Oloipir
        • Arash
      • Ngorongoro
        • Alailelai
        • Naiyobi
        • Olbalbal
        • Nainokanoka
        • Kakesio
        • Ngorongoro
        • Eyasi
        • Endulen
        • Ngoile
        • Alaitolei
        • Misigyo
      • Sale
        • Sale
        • Malambo
        • Digodigo
        • Oldonyosambu
        • Samunge
        • Pinyinyi
        • Kirangi
        • Engaresero
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezw
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

KAFANYIENI KAZI RIPOTI ZOTE ZA TATHIMINI-DKT DOTTO BITEKO

Posted on: September 13th, 2023


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko, amewaagiza wataalamu wanaohusika na ufuatiliaji na tathimini za utendaji wa Serikali kuzifanyia kazi Ripoti zote ili kuongeza ufanisha katika utendaji.


Kauli hiyo ameizungumza alipokuwa akifungua Kongamano la Kitaifa la ufuatiliaji, tathimini na mafunzo kwa taasisi mbalimbali za Serikali, Jijini Arusha.


"Mtu asiyejifanyia tathimini anakuwa ameduwaa tu wakati wote na anakuwa mtu wa hasara maana anakosa mwelekeo wa mambo yake",alisema.


Kongamano hilo litaisadia Serikali kujiwekea malengo yanayotekelezeka na kwa wakati.


Vilevile Serikali inatasaidia kubaini changamoto zinazoikabili Serikali na Taifa kwa ujumla na hivyo kurahisisha utatuzi wake kwa haraka.


Akisisitiza zaidi Mhe Biteko ametaka kuanzishwa kwa mfumo wa ufuatiliaji na tathimini wenye kuleta uwiano ambao utaende sambamba na sera yake kwa ufanisi ulio bora zaidi.


Kwa upande wake Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama amesema mada zitakazozungumziwa katika Kongamano hilo zitachochea maswala ya Utawala bora,TEHAMA na kuongeza uwazi wa utendaji wa Serikali.


Nae, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Dkt.Jim Yonazi amesema Kongamano hilo limejimuisha takribani washiriki 524 kutoka taasisi mbalimbali za Serikali.


Lengo kubwa la kongamano ni kuwajengea uwezo, kujifunza na kufuatilia matokeo kwa njia sahihi huku wakichambua utendaji kazi wa Serikali.


Kongamano la Kitaifa la ufuatiliaji, tathimini na Mafunzo linafanyika kwa siku 3 Jijini Arusha na linatarajiwa kufungwa rasmi Septemba 14,2023.

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOPATA VIWANJA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGORONGORO MWAKA 2020 February 14, 2020
  • MLIPUKO WA KIPINDUPINDU WILAYA YA NGORONGORO May 07, 2018
  • KUUZAJI WA VIWANJA MJI WA WASSO May 11, 2018
  • MUDA WA NYONGEZA JUU YA MAOMBI YA VIWANJA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGORONGORO June 13, 2018
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • TANGAZO LA WADAIWA WA KODI YA ARDHI

    September 22, 2023
  • DC-MWANGWALA AAGIZA HUDUMA YA UPASUAJI NA MAABARA KUANZA KUFANYA KAZI ZAHANATI YA SALE..

    September 19, 2023
  • DC NGORONGORO AANZA ZIARA YAKE YA SIKU YA KWANZA KATA YA PINYINYI..

    September 18, 2023
  • DC NGORONGORO AANZA ZIARA YAKE YA SIKU YA KWANZA KATA YA PINYINYI..

    September 18, 2023
  • Tazama zaidi

Video

SHAMBA LA NYASI LA MFANO KATA YA SOITSAMBU
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Upimaji darasa la Nne 2019
  • Taarifa na Matangazo
  • Mikataba na Miongozo
  • machapisho mbalimbali
  • Habari kwa umma
  • Taarifa kwa Umma
  • JINSI YA KUPATA SALARY SLIP
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA ELIMU YA KATI NA VYUO VYA UFUNDI JUNE 2019.
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 NGORONGORO

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Rais
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • NGORONGORO DC YOUTUBE CHANEL
  • MATOKEO YA UPIMAJI DARASA LA NNE 2019 WILAYA YA NGORONGORO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.