• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhamira
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji na Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Kata
      • Loliondo
        • Ololosokwan
        • Soitsambu
        • Enguserosambu
        • Maalon
        • Oloirien Magaiduru
        • Piyaya
        • Orgosorok
        • Oloipir
        • Arash
      • Ngorongoro
        • Alailelai
        • Naiyobi
        • Olbalbal
        • Nainokanoka
        • Kakesio
        • Ngorongoro
        • Eyasi
        • Endulen
        • Ngoile
        • Alaitolei
        • Misigyo
      • Sale
        • Sale
        • Malambo
        • Digodigo
        • Oldonyosambu
        • Samunge
        • Pinyinyi
        • Kirangi
        • Engaresero
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezw
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

KAMATI YA FEDHA YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI INAYOENDELEA KUTEKELEZWA WILAYA YA NGORONGORO.

Posted on: November 7th, 2023


Makamu Mwenyekiti baraza Madiwani  la Hlmashauri Mhe. Emanuel Tonge          ameiongoza kamati ya fedha pamoja na wataalam kutoka halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa fedha za mapato ya ndani na serikali kuu ambapo jumla ya miradi ni minne ikiwemo Zahati ya Samunge,  Zahanati, Oldonyosambu,  Masusu sekondari pamoja na Zahanati ya Sale.

Hata hivyo kamati imepongeza hali ya miradi ilipofikia hususani katika Shule ya Masusu sekondari,  Vifaa tiba katika Zahanati ya Sale,  mazingira ya maabara katika Zahanati ya Samunge na  kutoa maelekezo ya kukamilika kwa miradi hususani sehemu ambazo zitakiwa kukamilika kurekebishwa ikiwemo jengo la mionzi ya Zahanati ya Sale,  kukamilishwa kwa jengo la wagonjwa wa nje (OPD) Zahanati ya Samunge.


Aidha kamati hiyo imetoa pongezi kwa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha za miradi ya maendeleo pamoja vifaa tiba vya kisasa katika vituo vya Afya na Zahanati.


Kamati pia imetumia nafasi hiyo kutoa rai kwa watumishi wapya kuwa na uvulivu, kujituma, kuwa wabunifu na kutoa ushirikiano kwa wananchi ili kuongeza ubora wa huduma kwa jamii.

"Niwaombe watumishi WA Zahanati ya Samunge  kuwa na uvumilivu katika mazingira yenu ya kazi ili muweze kuonyesha uwezo wenu. pia nawaomba mvitunze vizuri vifaa tiba mlivyoletewa ili viwasadie kutoa huduma bora kwa wananchi" amesema Mhe.Tonge


Hata hivyo kamati imeahidi kutoa kiasi cha shilingi milioni 10 katika Zahanati ya Sale ili kusaidia kuleta kiti maalumu kwa ajili mama aliyejifungua.


Kwa upande wa wananchi nao wametoa pongezi na shukrani kwa Serikali ya awamu ya sita kwa kuwaletea miradi ya shule na zahanati hali inayowafanya wapate huduma za muhimu za kijamii,  pia ameipongeza kamati ya fedha kwa ufuatiliaji mzuri wa miradi inayoendelea.

Ifahamike kuwa Serikali ilitoa kiasi cha Sh. 50, 000, 000 za kitanzania katika kuteleza mradi wa maabara na jengo la OPD katika zahanati ya Sale mnamo tarehe 13 Februari 2023,Kiasi cha Sh. 50, 000,000 ujenzi wa jengo la OPD zahanati ya Oldonyosambu. Na kiasi cha Sh.100,000,000 Zahanati ya Sale kwa ajili vifaa tiba vya kisasa na vifaa vyote vimenunuliwa.


Mwisho kamati ya fedha ikatoa maelekezo kwa Afisa Elimu hatua za usajili shule ya Masusu sekondari uanze mapema ili kufikia januari 2024 ianze kutumika rasmi kwani mradi huo mpaka sasa umefikia hatua ya mwisho kabisa ili kumalizika.

Matangazo

  • TANGAZO LA RATIBA YA UCHAGUZI NA UANDIKISHAJI WA UCHAGUZI. September 26, 2024
  • TANGAZO LA UANDIKISHAJI VIJANA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA. October 01, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI.2. September 29, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI. September 29, 2024
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • NGORONGORO MSTARI WA MBELE KUHIMIZA MATUMIZI YA NISHATI SAFI.

    May 09, 2025
  • KISIMA CHA MAJI SAFI KUCHIMBWA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA NGORONGORO

    April 25, 2025
  • ZIARA YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI TARAFA YA NGORONGORO.

    April 28, 2025
  • WANAFUNZI 576 WA KIDATO CHA SITA KUFANYA MTIHANI WA TAIFA NGORONGORO.

    May 06, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Afisa kilimo Ngorongoro aeleza na kufafanua namna ya kupata mazao yenye afya na mbegu bora kutumia katika kilimo.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Upimaji darasa la Nne 2019
  • Taarifa na Matangazo
  • Mikataba na Miongozo
  • machapisho mbalimbali
  • Habari kwa umma
  • Taarifa kwa Umma
  • JINSI YA KUPATA SALARY SLIP
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA ELIMU YA KATI NA VYUO VYA UFUNDI JUNE 2019.
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 NGORONGORO

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Rais
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • NGORONGORO DC YOUTUBE CHANEL
  • MATOKEO YA UPIMAJI DARASA LA NNE 2019 WILAYA YA NGORONGORO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.