Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro Bw.Raphael J.Siumbu anapenda kuwakaribisha wakazi wote wa Mikoa ya ARUSHA ,MANYARA na KILIMANJARO katika Banda la Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro Viwanja vyaThemi Arusha kwenye Maonesho ya 26 ya kilimo na sherehe za Nane Nane yaliyoanza tarehe 1.8.2019 hadi tarehe 8.8.2019 na siku ya Ufunguzi tarehe 3.8.2019
Manonesho ya kilimo na sherehe za nane nane mwaka 2019 yanaenda na kauli mbiu isemayo "KILIMO MIFUGO NA UVUVI KWA UKUAJI WA UCHUMI"
Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.