KURUGENZI FC YACHAPWA GOLI 1-0 NA OLOLOSOKWAN FC
Ngorongoro .
Arusha.
HATIMAYE OLOLOSKWAN FC VYAIBUKA MSHINDI KATIKA MECHI YA KIRAFIKI DHIDI KURUGENZI FC.
MECHI HIYO YAKIRAFIKI ILIYOPIGWA LEO KATIKA UWANJA WA SHULE YA MSINGI OLOLOSOKWAN IMEMALIZIKA BAADA YA KURUGENZI FC KUKUBALI KICHAPO CHA GOLI 1-0
OLOLOSOKWAN IMEJIPATIA GOLI HILO PEKEE MNAMO DAKIKA 70 YA MCHEZO KUPITIA KWA MSHAMBULIAJI WAKE EMANUEL MAOI.
MECHI HIYO YA KIRAFIKI IMEANDALIWA CHINI YA MKURUGENZI WA W. NGORONGORO, NA TIMU HIZO ZIPO TAYARI KWAAJILI YA MAANDALIZI YA LIGI YA WILAYA ILIYOKA MBIONI KUANZA HIVI KARIBUNI
Imetolewa na Idara ya Habari na Mawasiliano
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.