Maadhimisho ya SIKU YA MASHUJAA Wilaya ya Ngorongoro 2023
Kila ifikiapo Julai 25 ya kila Mwaka,Tanzania huadhimisha siku ya kuwakumbuka Mashujaa waliopoteza Maisha yao wakiutetea,Kuupigania na Kulinda Uhuru wa Tanzania. Siku hii pia huambatana na Shughuli mbalimbali ikiwemo dua na sala maalumu za kuwaombea Mashujaa waliopoteza maisha na kuiombea Amani ya Nchi kutoka kwa Viongozi wa Dini.
Mashujaa hao walipambana kwa Hali na mali kwa ajili ya kuitetea Nchi ya Tanzania wakiwa katika Maeneo mbalimbali.Walijizatiti na kujitoa kwa uzalendo mkubwa kwa kuweka rehani Maisha yao kwa ajili ya Tanzania.Uongozi na Watumishi pamoja na Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro tunaungana na Watanzania wote kuwakumbuka na kuwaombea kheri kutokana na kujali na kudumisha Misingi ya Amani.
Misingi mizuri na imara iliyojengwa na waasisi wa Taifa letu Baba wa Taifa ,Hayati Mwl.Julius Kambarage Nyerere Na Sheikh Abeid Amani Karume,imesababisha
Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.