Mkurugenzi Mtendaji wa Halmsahauri ya Wilaya ya Ngorongoro anawatangazia wananchi ,wafanyabiashara,na taasisi zilizopo ndani ya Halmashauri hiyo
kuwa ,Mwisho wa Matumizi ya Mifuko ya Plastiki ni tarehe 31.Mei 2019
Aidha baada ya tarehe hiyo hatua za kisheria zitachukuliwa kwa wote watakao bainika kuuza ,kuzalisha,kuingiza,kusambaza,kuuza na kutumia Mifuko ya plastiki.
"EWE MWANANCHI TUMIA MIFUKO MBADALA"
Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.