• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhamira
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji na Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Kata
      • Loliondo
        • Ololosokwan
        • Soitsambu
        • Enguserosambu
        • Maalon
        • Oloirien Magaiduru
        • Piyaya
        • Orgosorok
        • Oloipir
        • Arash
      • Ngorongoro
        • Alailelai
        • Naiyobi
        • Olbalbal
        • Nainokanoka
        • Kakesio
        • Ngorongoro
        • Eyasi
        • Endulen
        • Ngoile
        • Alaitolei
        • Misigyo
      • Sale
        • Sale
        • Malambo
        • Digodigo
        • Oldonyosambu
        • Samunge
        • Pinyinyi
        • Kirangi
        • Engaresero
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezw
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

MILIONI 981.3 ZATOLEWA KWA WALENGWA WA TASAF MKOA WA ARUSHA: WAMSHUKURU RAIS DKT. SAMIA.

Posted on: November 8th, 2024

Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu hassan, imeendelea kutekeleza mpango wa kunusuru kaya masikini mradi unaoteklezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF kwa kutoa fedha kiasi cha shilingi milioni 981.3 kwa walengwa walio kwenye mpngo huo, Mkoa wa Arusha.

Akizungumzia na mwandishi wa habari hizi, Mratibu wa TASAF Mkoa wa Arusha, Richard Nkini amesema kuwa kiasi hicho cha fedha kimetolewa kwa kaya 41,272 ikiwa ni ruzuku ya mwezi Julai na Agosti 2024 kwa halmashauri zote saba za mkoa wa Arusha.


Amefafanua kuwa, fedha hizo ni mahsusi kwaajili ya ruzuku ya Msingi, Elimu pamoja na afya ili kuhakikisha walengwa hao wanapata mahitaji yao ya msingi ikiwa ni pamoja na watoto wa kaya hizo kupata mahitaji muhimu ya kuwawezesha kuhudhuria masomo na kliniki kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano.


Fedha hizi licha ya kuwasaidia walengwa kuapata mahitaji ya familia lakini zaidi zinawawezesha kuanzisha miradi midogo midogo ya kuinua pato la familia na hatimaye kutoka kwenye lindi la umasikini uliokithiri". Amesema Nkini.


Hata hivyo wanufaika hao wameishukuru Serikali yao ya awamu ya tano, kwa kuendelea kuwajali wananchi wa kipato cha chini, kwa kuwa kabla ya kuwepo kwa mradi huo wengi walishindwa kuendesha maisha yao na familia zao, kutokana na hali ngumu maisha iliyosababishwa na kipato duni.


Mmoja wa wanufaika hao, Bibi Zuhura Ally ambaye ni mkazi wa Kata ya Ngarenaro amesema kupitia fedha hizo, anamudu kuwasomesha wajukuua wake ambao ni yatima kwa kuwnunulia mahitaji ya shule matumizi hukua kutumia fedha nyingine kwa matumizi ya familia, jambo ambalo hapo awalii likuwa ni ngumu kwake na familia.


Ninaishukuru Serikali kwa kutujali, mimi ninalea wajukuu zangu ambao ni yatima, ninamshukuru Mungu, huu mradi wa TASAF umetusaidia wengi, kabla ya hapo tulikuwa na hali ngumu ya maisha". Amesema Bibi Zuhura.
+

Matangazo

  • TANGAZO LA RATIBA YA UCHAGUZI NA UANDIKISHAJI WA UCHAGUZI. September 26, 2024
  • TANGAZO LA UANDIKISHAJI VIJANA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA. October 01, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI.2. September 29, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI. September 29, 2024
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • NGORONGORO MSTARI WA MBELE KUHIMIZA MATUMIZI YA NISHATI SAFI.

    May 09, 2025
  • KISIMA CHA MAJI SAFI KUCHIMBWA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA NGORONGORO

    April 25, 2025
  • ZIARA YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI TARAFA YA NGORONGORO.

    April 28, 2025
  • WANAFUNZI 576 WA KIDATO CHA SITA KUFANYA MTIHANI WA TAIFA NGORONGORO.

    May 06, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Afisa kilimo Ngorongoro aeleza na kufafanua namna ya kupata mazao yenye afya na mbegu bora kutumia katika kilimo.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Upimaji darasa la Nne 2019
  • Taarifa na Matangazo
  • Mikataba na Miongozo
  • machapisho mbalimbali
  • Habari kwa umma
  • Taarifa kwa Umma
  • JINSI YA KUPATA SALARY SLIP
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA ELIMU YA KATI NA VYUO VYA UFUNDI JUNE 2019.
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 NGORONGORO

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Rais
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • NGORONGORO DC YOUTUBE CHANEL
  • MATOKEO YA UPIMAJI DARASA LA NNE 2019 WILAYA YA NGORONGORO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.