• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhamira
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji na Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Kata
      • Loliondo
        • Ololosokwan
        • Soitsambu
        • Enguserosambu
        • Maalon
        • Oloirien Magaiduru
        • Piyaya
        • Orgosorok
        • Oloipir
        • Arash
      • Ngorongoro
        • Alailelai
        • Naiyobi
        • Olbalbal
        • Nainokanoka
        • Kakesio
        • Ngorongoro
        • Eyasi
        • Endulen
        • Ngoile
        • Alaitolei
        • Misigyo
      • Sale
        • Sale
        • Malambo
        • Digodigo
        • Oldonyosambu
        • Samunge
        • Pinyinyi
        • Kirangi
        • Engaresero
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezw
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

MKUTANO WA BARAZA LA HALMASHAURI ROBO YA PILI WILAYA YA NGORONGORO WAFANYIKA; UKUMBI WA JENGO JIPYA LA HALMASHAURI WAANZA KUTUMIKA RASMI.

Posted on: February 17th, 2024

Mkutano wa Baraza la Halmashauri Wilayani Ngorongoro kwa kipindi cha robo ya pili umefanyika leo tarehe 16 Februari, 2024 katika Ukumbi wa Mkutano wa Halmashauri, kujadili na kupitisha agenda mbalimbali za kimaendeleo katika Wilaya ya Ngorongoro

                                                                

Aidha Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro Mh. Mohamed Bayo amewapongeza Waheshimiwa Madiwani, Wataalamu pamoja na watendaji Kwa kupitisha rasimu ya Mpango na Bajeti ya Halmashauri ya mwaka 2024-2025. Pia Mh. Bayo amewasilisha Hali ya makusanyo ya mapato ya ndani ya Halmashauri Kwa kipindi cha Julai 2023 hadi Disemba 2023.


"Makusanyo ya ndani ya Halmashauri Kwa kipindi cha Julai hadi Disemba 2023, Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro imefanikiwa kukusanya mapato kutoka vyanzo mbalimbali jumla ya TSH.1,437,675,754 sawa na asilimia 46 ya makisio ya fedha Kwa mwaka 2023-2024" amesema Mh. Bayo.

                                                                   

Hata hivyo  Mwenyekiti wa Halmashauri amewapongeza na kuwashauri wataalamu wa ukusanyaji wa mapato kutobweteka na mafanikio hayo badala yake kuongeza ufanisi ili kizuia mianya yote ya upotevu wa fedha wakati wa ukusanyaji wa mapato Kwa lengo la kufikia ukusanyaji mzuri ili kufikisha huduma stahiki Kwa jamii


Aidha mwenyekiti amewapongeza Waheahimiwa Madiwani pamoja na wataalamu mbalimbali katika Wilaya ya Ngorongoro kwani Kasi ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo imeongezeka kwa kiwango kikubwa


Pia Mh. Bayo amempongeza na kumshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan Kwa kutoa fedha zote za miradi mbalimbali ya maendeleo ndani ya Wilaya ya Ngorongoro.


"Nipende kutoa pongezi zangu za dhati Kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kutupatia fedha za utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika Wilaya yetu Tunashukukuru sana mama" amesema Mh. Mohammed Bayo.


Mh. Bayo ameungana na Wajumbe wa kikao hicho kwa kumpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro Bw. Nassoro Shemzigwa kwa kuhamishia Ofisi zote za Wataalamu katika Ofisi za Jengo jipya la Halmashauri.


Wakati wa Mkutano huo wa Baraza la Halmashauri Divisheni ya Elimu Msingi chini ya Madam Mwanamina Muro na Divisheni ya Elimu Sekondari chini Mwl. Emmanuel Sukumus wametoa zawadi ya fedha na Vyeti kwa Shule zote zilizofanya vizuri katika ufaulu ya mitihani ya taifa kwa mwaka 2023

                                                                

Zoezi la ugawaji wa zawadi hizo limesimamiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu, Afya na Huduma za kijamii Mhe. Shutuk Kitamwas pamoja Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Bayo


Ikumbukwe kuwa jitihada zote za miradi ya maendeleo na maboresho Wilaya ya Ngorongoro inafanyika kutekeleza Ilani ya Chama cha Mapinduzi(CCM) ya mwaka 2020/2025 chini ya Dk.Samia Suluhu Hassan ambapo katika Mkutano huo chama kiliwakilishwa na Katibu wa CCM Wilaya Ndg. Abubakar Ghati.

Matangazo

  • TANGAZO LA RATIBA YA UCHAGUZI NA UANDIKISHAJI WA UCHAGUZI. September 26, 2024
  • TANGAZO LA UANDIKISHAJI VIJANA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA. October 01, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI.2. September 29, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI. September 29, 2024
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • NGORONGORO MSTARI WA MBELE KUHIMIZA MATUMIZI YA NISHATI SAFI.

    May 09, 2025
  • KISIMA CHA MAJI SAFI KUCHIMBWA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA NGORONGORO

    April 25, 2025
  • ZIARA YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI TARAFA YA NGORONGORO.

    April 28, 2025
  • WANAFUNZI 576 WA KIDATO CHA SITA KUFANYA MTIHANI WA TAIFA NGORONGORO.

    May 06, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Afisa kilimo Ngorongoro aeleza na kufafanua namna ya kupata mazao yenye afya na mbegu bora kutumia katika kilimo.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Upimaji darasa la Nne 2019
  • Taarifa na Matangazo
  • Mikataba na Miongozo
  • machapisho mbalimbali
  • Habari kwa umma
  • Taarifa kwa Umma
  • JINSI YA KUPATA SALARY SLIP
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA ELIMU YA KATI NA VYUO VYA UFUNDI JUNE 2019.
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 NGORONGORO

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Rais
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • NGORONGORO DC YOUTUBE CHANEL
  • MATOKEO YA UPIMAJI DARASA LA NNE 2019 WILAYA YA NGORONGORO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.