• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhamira
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji na Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Kata
      • Loliondo
        • Ololosokwan
        • Soitsambu
        • Enguserosambu
        • Maalon
        • Oloirien Magaiduru
        • Piyaya
        • Orgosorok
        • Oloipir
        • Arash
      • Ngorongoro
        • Alailelai
        • Naiyobi
        • Olbalbal
        • Nainokanoka
        • Kakesio
        • Ngorongoro
        • Eyasi
        • Endulen
        • Ngoile
        • Alaitolei
        • Misigyo
      • Sale
        • Sale
        • Malambo
        • Digodigo
        • Oldonyosambu
        • Samunge
        • Pinyinyi
        • Kirangi
        • Engaresero
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezw
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI ROBO YA KWANZA 2023/2024 NGORONGORO

Posted on: December 12th, 2023

Mkutano wa robo ya Kwanza wa Baraza la madiwani Wilaya ya Ngorongoro umefanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro leo tarehe 12 Disemba,  2023.  Kujadili agenda mbalimbali za kimaendeleo na ustawi katika Wilaya ya Ngorongoro.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro Mhe. Mohamed Bayo amesema Halmashauri imefanikiwa kutekeleza shughuli mbalimbali za kimaendeleo kutoka mwezi Julai Hadi mwezi Septemba, ambapo Halmashauri imekusanya mapato kutoka vyanzo mbalimbali jumla ya Tsh milioni 778,893,637, sawa na 25% hivyo kufikia makisio ya ukusanyaji fedha za mapato kwa Mwaka 2022,2023 na 2024.

"Katika hili hii ni hatua nzuri ya ukusanyaji wa mapato katika Halmashauri yetu hivyo tusibweteke,  tuendelee na ukusanyaji na kukemea mianya ya upotevu wa mapato ili kufikisha huduma iliyokusudiwa kwa wananchi katika Wilaya yetu" amesema Mhe. Bayo

Aidha mwenyekiti amewapongeza madiwani pamoja na wataalamu mbalimbali katika wilaya ya Ngorongoro kwani Kasi ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo imeongezeka kwa kiwango kikubwa.


Sambamba na hayo Mwenyekiti ameipongeza Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro chini ya Bw. Nassoro B. Shemzigwa kwa kutoa msisitizo katika ukusanyaji wa  marejesho ya mikopo kwa asilimia 10 ambapo imekusanywa takribani milioni 56, pia Mwenyekiti ametoa rai kwa wanaodaiwa mikopo kurejesha ili fedha hizo ziweze kufanyiwa maendeleo mbalimbali katika jamii.


Katika kuboresha sekta ya elimu na kusaidia wanafunzi kupata elimu katika mazingira mazuri, Halmashauri imefanikiwa kusajili shule mbili za msingi ikiwemo Losirwa iliyopo kijiji cha kirtalo na Katika kijiji cha Njorieti.


Hata hivyo Mhe. Bayo amewapongeza wataalamu wa elimu pamoja na walezi kwa kuongeza ufanisi katika ufundishaji kwa kuongeza ufaulu kutoka 60.7% kwa mwaka 2022 hadi asilimia 77.9 kwa mwaka 2023 sawa na ongezeko la asilimia 8.2 ,hivyo kutoka nafasi ya mwisho kimkoa na kushika nafasi ya tano.


Aidha Mwenyekiti ametoa muhtasari wa utelekelezaji wa Bajeti ya fedha kwa mwaka  2023 /2024 ambapo jumla kuu ya mapato ya ndani makisio yake ni Shilingi za Kitanzania 37,560,629,500. Huku jumla halisi ya mapato ya ndani ikiwa ni kiasi cha shilingi 15,230,529,837 za kitanzania hata hivyo kiasi cha Tsh milion 868,109,600 kutoka kwenye mapato kimetumika kwa matumizi ya ndani katika Wilaya ya Ngorongoro.


Ikumbukwe shughuli zote za maendeleo zinazofanyika katika Wilaya ya Ngorongoro ni utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya Mwaka  2020/2025 chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Matangazo

  • TANGAZO LA RATIBA YA UCHAGUZI NA UANDIKISHAJI WA UCHAGUZI. September 26, 2024
  • TANGAZO LA UANDIKISHAJI VIJANA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA. October 01, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI.2. September 29, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI. September 29, 2024
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • NGORONGORO MSTARI WA MBELE KUHIMIZA MATUMIZI YA NISHATI SAFI.

    May 09, 2025
  • KISIMA CHA MAJI SAFI KUCHIMBWA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA NGORONGORO

    April 25, 2025
  • ZIARA YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI TARAFA YA NGORONGORO.

    April 28, 2025
  • WANAFUNZI 576 WA KIDATO CHA SITA KUFANYA MTIHANI WA TAIFA NGORONGORO.

    May 06, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Afisa kilimo Ngorongoro aeleza na kufafanua namna ya kupata mazao yenye afya na mbegu bora kutumia katika kilimo.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Upimaji darasa la Nne 2019
  • Taarifa na Matangazo
  • Mikataba na Miongozo
  • machapisho mbalimbali
  • Habari kwa umma
  • Taarifa kwa Umma
  • JINSI YA KUPATA SALARY SLIP
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA ELIMU YA KATI NA VYUO VYA UFUNDI JUNE 2019.
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 NGORONGORO

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Rais
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • NGORONGORO DC YOUTUBE CHANEL
  • MATOKEO YA UPIMAJI DARASA LA NNE 2019 WILAYA YA NGORONGORO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.