• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhamira
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji na Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Kata
      • Loliondo
        • Ololosokwan
        • Soitsambu
        • Enguserosambu
        • Maalon
        • Oloirien Magaiduru
        • Piyaya
        • Orgosorok
        • Oloipir
        • Arash
      • Ngorongoro
        • Alailelai
        • Naiyobi
        • Olbalbal
        • Nainokanoka
        • Kakesio
        • Ngorongoro
        • Eyasi
        • Endulen
        • Ngoile
        • Alaitolei
        • Misigyo
      • Sale
        • Sale
        • Malambo
        • Digodigo
        • Oldonyosambu
        • Samunge
        • Pinyinyi
        • Kirangi
        • Engaresero
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezw
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

MKUU WA MKOA WA ARUSHA AZUNGUMZA NA WANANCHI KIJIJI CHA NANI.

Posted on: November 12th, 2023

MKUU WA MKOA WA ARUSHA AZUNGUMZA NA WANANCHI KIJIJI CHA NANI:


Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. John VK Mongella amewatembelea na kuzungumza na wananchi wa kijiji cha Nani kata ya Enguserosambu Wilaya ya Ngongoro, kisha kuzungumza nao katika mkutano wa hadhara.

Wakati akizungumza na Wananchi hao amezitaka Taasisi zinazoshughulia huduma ya miundo mbinu ya kijamii ikiwemo TARURA pamoja na RUWASA,  kushughulia changamoto zinazowakumba wananchi. Kero hizo ni pamoja na huduma ya maji safi na salama kwa upande wa RUWASA na miundo mbinu ya barabara kuwekwa vizuri kwa upande wa TARURA.


Aidha Mhe. Mongella amefurahishwa na kitendo cha wananchi wa Nani kushirikiana pamoja kwa kuunga mkono serikali katika shughuli za maendeleo. Pia ametoa shukrani kwa Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatoa fedha nyingi kwa ajili ya miradi ya maendeleo, yote hayo ni kuondoa kero kwa wananchi na kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora.


"Rais wetu anafanya juhudi kubwa sana kuondoa kero za wananchi"-amesema Mhe. Mongella


Katika mkutano huo Mhe. mkuu wa mkoa ametoa rai kwa Mkuu wa wilaya na Mkurugenzi mtendaji wilaya ya Ngorongoro kusimamia miradi yote inayoendelea katika kijiji cha Nani kujengwa katika ubora unaotakiwa.


Katika Hadhara hiyo Mhe John VK Mongella ametoa ahadi ya kurudi tena kutembelea wananchi na Serikali itaendelea kuunga mkono juhudi za wananchi kwa kutoa fedha kwaajili kukamilisha miradi yote ya maendeleo inayoendelea kwa sasa na kuleta miradi mingine.


Hata hivyo amewambia wananchi wa  kijiji cha Nani kuwa vitambulisho vya Taifa (NIDA) vimekwisha anza kutolewa kwa wananchi wote ambao waliyokuwa wamejiandikisha na baada ya wiki mbili wananchi wote wanaostahili kuwa na vitambulisho watakuwa wamepata vitambulisho vyao. Ufafanuzi huo ametoa wakatia anajibu hoja ya wananchi kuhusu changamoto ya kutokua na vitambulisho vya taifa.

Kwa upande wa wananchi Mhe.Olemilia diwani kata ya Enguserosambu amesema kuwa Wananchi wa Kijiji cha Nani na kata ya Enguserosambu kwa ujumla wanatoa shukrani  kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan.


"Rais wetu ameendelea kutuletea miundo mbinu yote ya kijamii kama zahanati na shule na hata hali ya usalama sasa ni nzuri ukilinganisha na hapo awali, tunaendelea kumuomba aendelee kutuongezea miradi zaidi". amesema Mhe. Diwani


Ikumbukwe Mhe. Mkuu wa mkoa wa Arusha amekua na ziara ya siku tatu katika Wilaya ya Ngorongoro,  na ziara hiyo ilianza tarehe 10 Novemba na inatarajia kumalizika tarehe 12 Novemba 2023.

Matangazo

  • TANGAZO LA RATIBA YA UCHAGUZI NA UANDIKISHAJI WA UCHAGUZI. September 26, 2024
  • TANGAZO LA UANDIKISHAJI VIJANA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA. October 01, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI.2. September 29, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI. September 29, 2024
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • DED NGORONGORO AWAONGOZA WATUMISHI KSHIRIKI ZOEZI LA USAFI HOSPITALI YA WILAYA

    August 13, 2025
  • MAFUNZO YA SIKU 3 KWA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA NGORONGORO.

    August 05, 2025
  • JIFUNZE MBINU ZA KILIMO BORO KWENYE BANDA LA KILIMO LA HALMASHAURI YA WILAYA NGORONGORO MAONESHO YA NANE NANE 2025

    August 03, 2025
  • WANAFUNZI SHULE YA MSINGI MAIROWA WANUFAIKA NA KILIMO CHA BUSTANI YA MBOGA MBOGA.

    July 31, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Afisa kilimo Ngorongoro aeleza na kufafanua namna ya kupata mazao yenye afya na mbegu bora kutumia katika kilimo.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Upimaji darasa la Nne 2019
  • Taarifa na Matangazo
  • Mikataba na Miongozo
  • machapisho mbalimbali
  • Habari kwa umma
  • Taarifa kwa Umma
  • JINSI YA KUPATA SALARY SLIP
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA ELIMU YA KATI NA VYUO VYA UFUNDI JUNE 2019.
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 NGORONGORO

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Rais
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • NGORONGORO DC YOUTUBE CHANEL
  • MATOKEO YA UPIMAJI DARASA LA NNE 2019 WILAYA YA NGORONGORO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.