• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhamira
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji na Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Kata
      • Loliondo
        • Ololosokwan
        • Soitsambu
        • Enguserosambu
        • Maalon
        • Oloirien Magaiduru
        • Piyaya
        • Orgosorok
        • Oloipir
        • Arash
      • Ngorongoro
        • Alailelai
        • Naiyobi
        • Olbalbal
        • Nainokanoka
        • Kakesio
        • Ngorongoro
        • Eyasi
        • Endulen
        • Ngoile
        • Alaitolei
        • Misigyo
      • Sale
        • Sale
        • Malambo
        • Digodigo
        • Oldonyosambu
        • Samunge
        • Pinyinyi
        • Kirangi
        • Engaresero
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezw
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

RATIBA YA KAMATI YA FEDHA NA MIPANGO KUTEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO TAREHE 17/11/2018- 22/11/2018.

Posted on: November 14th, 2018

HALMASHAURI YA WILAYA YA NGORONGORO

RATIBA YA KAMATI YA FEDHA NA MIPANGO KUTEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO NA KUONGEA NA VIONGOZI NA WANANCHI KUANZIA TAREHE 17/11/2018- 22/11/2018

SIKU

KATA /ENEO

TUKIO

MHUSIKA

17/11/2018
WASSO
Wajumbe kusafiri kuelekea Tarafa ya Ngorongoro
WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA NA WAKUU WA IDARA
18/11/2018
KAKESIO
Kutembelea mradi wa ujenzi wa Kituo cha Afya  Osinon.
WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA NA WAKUU WA IDARA
ALAITOLEI
Kutembelea eneo litakalo jengwa shule ya Sekondari ya Wasichana Esere
WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA NA WAKUU WA IDARA
ENDULEN
Kukagua ujenzi wa madarasa na bweni katika shule ya Sekondari Embarway
WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA NA WAKUU WA IDARA
Kukagua ujenzi wa Mabweni katika shule ya Msingi Endulen
WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA NA WAKUU WA IDARA
Kufanya Mkutano na Viongozi na wananchi wa Kata ya Endulen
WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA NA WAKUU WA IDARA, WANANCHI
19/11/2018
NGORONGORO
Kamati kufanya kikao cha ndani na Uongozi wa NCAA
WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA NA WAKUU WA IDARA
NAINOKANOKA
Kutembelea na kukagua shule mpya ya Oloresho
WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA NA WAKUU WA IDARA
Kukagua ujenzi wa bwalo la chakula na  madarasa 4 katika shule ya Sekondari Nainokanoka
WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA NA WAKUU WA IDARA
Kukagua mradi wa umaliziaji wa nyumba wa Walimu katika shule ya msingi Nainokanoka
WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA NA WAKUU WA IDARA
ALAILELAI
Kukagua ujenzi wa wodi ya wazazi katika Zahanati ya Alailelai
WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA NA WAKUU WA IDARA
20/11/2018
PIYAYA
Kutembelea mradi wa ujenzi wa wodi ya mama na mtoto  katika Zahanati ya Piyaya
WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA NA WAKUU WA IDARA
ARASH
Kutembelea ujenzi wa Bweni katika shule ya Msingi Olalaa
WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA NA WAKUU WA IDARA
Kukagua ujenzi wa tanki la maji katika kijiji cha Arash
WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA NA WAKUU WA IDARA
Kutembelea eneo la ujenzi wa Kituo cha Afya cha Arash
WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA NA WAKUU WA IDARA
Kukagua mradi wa ujenzi wa nyumba  (6:1) na ukarabati wa tanki la maji katika shule ya Sekondari Arash
WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA NA WAKUU WA IDARA
Kutembelea mradi wa ujenzi wa Ofisi ya kijiji cha Mbuken
WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA NA WAKUU WA IDARA
MAALON
Kutembelea mradi wa ujenzi wa Zahanati mpya ya Losoito.
WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA NA WAKUU WA IDARA
21/11/2018
 
LOLIONDO
Kutembelea mradi wa ujenzi wa wodi ya mama na mtoto katika Kituo cha Afya Loliondo
WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA NA WAKUU WA IDARA
Kukagua ujenzi wa madarasa katika shule ya msingi Loliondo
WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA NA WAKUU WA IDARA
Kutembelea na kukagua ujenzi wa miundombinu katika Kituo cha Afya Sakala pamoja na kukagua eneo la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya Sakala
WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA NA WAKUU WA IDARA
WASSO
Kutembelea mradi wa maji Wasso mjini
WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA NA WAKUU WA IDARA
Kutembelea mradi wa upimaji wa viwanja katika kitalu E - wasso
WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA NA WAKUU WA IDARA
Kufanya Mkutano na Viongozi na wananchi wa Kata ya O/Magaiduru
WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA NA WAKUU WA IDARA, WANANCHI
22/11/2018
 
SAMUNGE
Kukagua ujenzi wa chuo cha ufundi stadi (VETA) Samunge
WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA NA WAKUU WA IDARA, WANANCHI
Kukagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Afya Samunge
WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA NA WAKUU WA IDARA
KIRANGI
Kutembelea ujenzi wa jengo la OPD katika kijiji cha Kisangiro
WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA NA WAKUU WA IDARA
Kutembelea mradi wa ujenzi wa miundombinu katika shule mpya ya msingi ya Meje
WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA NA WAKUU WA IDARA
Kutembelea mradi wa ujenzi wa darasa katika shule ya Msingi Kisangiro
WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA NA WAKUU WA IDARA
OLDONYOSAMBU
Kutembelea Mradi wa maji wa Oldonyosambu - Masusu
DED, WAKUU WA IDARA
Kutembelea mradi wa ujenzi wa Shule mpya za Sekondari za Oldonyosambu na Jema
DED, WAKUU WA IDARA
Kukagua ujenzi wa nyumba ya watumishi katika shule ya msingi Oldonyosambu
DED, WAKUU WA IDARA
Kufanya Mkutano na Viongozi na wananchi wa Kata ya Oldonyosambu
WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA NA WAKUU WA IDARA, WANANCHI

IMEANDALIWA NA OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI WALAYA

Matangazo

  • TANGAZO LA RATIBA YA UCHAGUZI NA UANDIKISHAJI WA UCHAGUZI. September 26, 2024
  • TANGAZO LA UANDIKISHAJI VIJANA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA. October 01, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI.2. September 29, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI. September 29, 2024
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • NGORONGORO MSTARI WA MBELE KUHIMIZA MATUMIZI YA NISHATI SAFI.

    May 09, 2025
  • KISIMA CHA MAJI SAFI KUCHIMBWA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA NGORONGORO

    April 25, 2025
  • ZIARA YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI TARAFA YA NGORONGORO.

    April 28, 2025
  • WANAFUNZI 576 WA KIDATO CHA SITA KUFANYA MTIHANI WA TAIFA NGORONGORO.

    May 06, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Afisa kilimo Ngorongoro aeleza na kufafanua namna ya kupata mazao yenye afya na mbegu bora kutumia katika kilimo.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Upimaji darasa la Nne 2019
  • Taarifa na Matangazo
  • Mikataba na Miongozo
  • machapisho mbalimbali
  • Habari kwa umma
  • Taarifa kwa Umma
  • JINSI YA KUPATA SALARY SLIP
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA ELIMU YA KATI NA VYUO VYA UFUNDI JUNE 2019.
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 NGORONGORO

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Rais
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • NGORONGORO DC YOUTUBE CHANEL
  • MATOKEO YA UPIMAJI DARASA LA NNE 2019 WILAYA YA NGORONGORO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.