HALMASHAURI YA WILAYA YA NGORONGORO
RATIBA YA MKURUGENZI MTENDAJI (DED) NA WAKUU WA IDARA KUTEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO NA KUONGEA NA VIONGOZI, WATUMISHI NA WANANCHI
KUANZIA TAREHE 12/11/2018- 24/11/2018
SIKU
|
KATA
|
TUKIO
|
MHUSIKA
|
12/11/2018
|
Malambo
|
Kutembelea mradi wa umaliziaji wa Wodi ya wazazi katika Kituo cha Afya Malambo.
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
Kukagua ujenzi madarasa 6 katika shule ya msingi Malambo
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kukagua ujenzi wa maabara na nyumba ya watumishi katika shule ya Sekondari Malambo
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kukagua utekelezaji wa mradi wa maji Malambo
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kufanya mkutano na Viongozi wa Kata, vijiji na Watumishi wa Serikali katika Kata ya Malambo
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kukagua ujenzi wa madarasa 2 katika shile ya msingi Tumaini
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
13/11/2018
|
Sale
|
Kutembelea mradi wa ujenzi wa jingo la OPD katika Zahanati ya Sale
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
Kutembelea ujenzi wa shule mpya ya msingi ……….
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kukagua ujenzi wa mabweni 2 na umaliziaji wa madarasa katika shule ya Sekondari Sale
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kutembelea maeneo /mazingira yaliyo haribiwa kutokana na uchomaji wa mkaa katika Kata ya Sale
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kufanya mkutano na Viongozi wa Kata, vijiji na Watumishi wa Serikali katika Kata ya Sale
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
14/11/2018
|
Engaresero
|
Kutembelea maeneo ya vivutio vya utalii vitakavyo boreshwa katika eneo la Ziwa Natron
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
Kutembelea Shule ya msingi na Zahanati ya Engaresero
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kufanya mkutano na Viongozi wa Kata, vijiji na Watumishi wa Serikali katika Kata ya Engaresero
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kutembelea mradi wa umaliziaji wa maabara katika shule ya Sekondari Lake Natron na kuongea na watumishi
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kutembelea Shule ya msingi Monic na kuongea na watumishi
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kutembelea mradi wa umaliziaji wa nyumba ya walimu (2:1) katika shule ya msingi Monic
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Pinyiny
|
Kutembelea Shule ya msingi Pinyiny na Zahanati ya Pinyiny na kuongea na watumishi
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
|
Kukagua ujenzi wa madarasa 2 na ofisi katika shule Sitili ya Embaas
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
15/11/2018
|
Oldonyosambu
|
Kutembelea Mradi wa maji wa Oldonyosambu - Masusu
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
Kutembelea mradi wa ujenzi wa Shule mpya za Sekondari za Oldonyosambu na Jema
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kukagua ujenzi wa nyumba ya watumishi katika shule ya msingi Oldonyosambu
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kukagua ujenzi wa Ofisi ya kijiji cha Oldonyosambu
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kutembelea taasisi zote za Serikali zilizopo katika Kata ya Oldonyosambu na kuongea na watumishi
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kuongea na viongozi wa Kata na Vijiji katika Kata ya Oldonyosambu
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kutembelea eneo la mnada wa Katerogani
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
16/11/2018
|
Kirangi
|
Kutembelea ujenzi wa jengo la OPD katika kijiji cha Kisangiro
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
Kutembelea mradi wa ujenzi wa miundombinu katika shule mpya ya msingi ya Meje
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kutembelea mradi wa ujenzi wa darasa katika shule ya Msingi Kisangiro
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kutembelea ujenzi wa Bweni, Madarasa, Bwalo, Nyumba ya watumishi, matundu ya vyoo , Ukarabati wa maabara ya sayansi na kuongea na watumishi katika shule ya Sekondari Digodigo
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kutembelea mradi wa umaliziaji wa jengo la OPD katika Kituo cha Afya Mugholo
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kutembelea mradi wa ujenzi wa ofisi ya Kata ya Kirangi
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kufanya mkutano na Viongozi wa Kata, vijiji na Watumishi wa Serikali katika Kata ya Kirangi
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
17/11/2018
|
Digodigo
|
Kutembelea mradi wa umaliziaji wa nyumba ya mwalimu katika shule ya msingi Rera
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
Kutembelea mradi wa maji Digodigo
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kutembelea shule za msingi Digodigo, Reran a Biskene kusikiliza kero za watumishi
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kufanya mkutano na Viongozi wa Kata, vijiji na Watumishi wa Serikali katika Kata ya Digodigo
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kutembelea mradi wa ujenzi wa nyumba ya watumishi (2 in 1) katika shule ya msingi Biskene
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
18/11/2018
|
Samunge
|
Kutembelea mradi wa ujenzi wa Darasa katika shule ya msingi Mageri na kuongea na walimu
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
Kutembelea mradi wa nyumba ya watumishi katika shule ya msingi Mgongo na kuongea na watumishi wa shule
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kutembelea na kukagua ujenzi wa chuo cha VETA Samunge
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kutembelea miradi ya nyumba ya watumishi, mabweni, madarasa, madarasa na maabara katika shule ya Sekondari Samunge na kuongea na watumishi wa shule
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kutembelea mradi wa ujenzi wa nyumba ya watumishi katika Zahanati ya Samunge pamoja na kukagua eneo la kujenga Kituo cha Afya
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kukagua ujenzi wa madarasa na matundu ya vyoo katika shule ya msingi Yasimdito na kuongea na walimu
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kutembelea shule ya msingi Mdito na kuongea na walimu
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
19/11/2018
|
Piyaya
|
Kutembelea mradi wa umaliziaji wa jengo la wodi ya wazazi katika zahanati ya Piyaya
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
Kutembelea mradi wa ujenzi wa bwalo la chakula katika shule ya msingi Piyaya
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kufanya mkutano na Viongozi wa Kata, vijiji na Watumishi wa Serikali katika Kata ya Piyaya
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
20/11/2018
|
Arash
|
Kutembea mradi wa Umaliziaji wa nyumba ya walimu (2in 1) katika shule ya Sekondari Arash
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
Kutembea mradi wa Umaliziaji wa nyumba ya walimu (6 in 1) inayo fadhiliwa na TEA katika shule ya Sekondari Arash
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kutembelea ujenzi wa tanki la maji katika kijiji cha Arash
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kutembelea shule ya msingi Ormanie na kuongea na walimu
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Maalon
|
Kutembelea mradi wa ujenzi wa Nyumba ya mganga na jengo la OPD katika kijiji Losoito
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
|
21/11/2018
|
Ololosokwan
|
Kutembelea Mradi wa ujenzi wa Bweni katika shule ya msingi Ololosokwan
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
Kutembelea Mradi wa ujenzi wa nyuma ya watumishi katika Zahanati ya Ololosokwan
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kufanya mkutano na Viongozi wa Kata, vijiji na Watumishi wa Serikali katika Kata ya Ololosokwan
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kufanya ukaguzi wa ujenzi wa nyumba ya Waalimu (2 in 1) na matundu ya vyoo pamoja na kuongea na watumishi katika shule ya msingi Njoroi
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
22/11/2018
|
Soitsambu/Oloipir
|
Kutembelea mradi wa ujenzi wa darasa 1 katika shule ya msingi Soitsambu pamoja na kuongea na walimu
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
Kutembelea shule ya msingi Kirtalo pamoja na kuongea na walimu
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kukagua miradi ya ujenzi wa madarsa 3 na umaliziaji wa maabara ya sayansi katika shule ya Sekondari Soitsambu pamoja na kuongea na watumishi wa shule
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kukagua ujenzi wa nyumba ya watumishi katika shule Sitili ya Olkuyane
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
23/11/2018
|
Oloipir
|
Kukagua ujenzi wa nyumba ya Mganga katika Zahanati ya Sukenya
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
Enguserosambu
|
Kukagua ujenzi wa nyumba ya mwalimu na madarasa 3 katika shule ya msingi Naan pamoja na kuongea na Viongozi, Watumishi wa Serikali na Wananchi
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
|
Kukagua miundombinu ya shule Sitili ya Lopiriki
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kukagua umaliziaji wa Ghala la mazao katika kijiji cha Ng’arwa
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
Kufanya mkutano na Viongozi wa Kata, vijiji na Watumishi wa Serikali katika Kata ya Enguserosambu
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
||
24/11/2018
|
NDC HQ
|
MAJUMUISHO YA ZIARA
|
DED, WAKUU WA IDARA
|
MUHIMU:
Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.