• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhamira
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji na Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Kata
      • Loliondo
        • Ololosokwan
        • Soitsambu
        • Enguserosambu
        • Maalon
        • Oloirien Magaiduru
        • Piyaya
        • Orgosorok
        • Oloipir
        • Arash
      • Ngorongoro
        • Alailelai
        • Naiyobi
        • Olbalbal
        • Nainokanoka
        • Kakesio
        • Ngorongoro
        • Eyasi
        • Endulen
        • Ngoile
        • Alaitolei
        • Misigyo
      • Sale
        • Sale
        • Malambo
        • Digodigo
        • Oldonyosambu
        • Samunge
        • Pinyinyi
        • Kirangi
        • Engaresero
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezw
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

RC MONGELLA ASISTIZA MATUMIZI YA MFUMO GotHoMIS VITUO VYOTE VYA AFYA MKOA WA ARUSHA.

Posted on: October 26th, 2023



Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. John V.K. Mongella amewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri zote za mkoa wa Arusha kuhakikisha vituo vyote vya kutolea huduma za Afya vinafungwa mfumo wa kumeneji taarifa na kukusanyia Mapato wa GoT HoMIS, mfumo ambao licha ya kuthibiti ukusanyaji wa Mapato unasaidia kutunza kumbukumbu za matibabu ya wagonjwa, wanaofika kituoni kupata huduma.

Ametoa agizo hilo wakati akikagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Karatu na kujionea namna mfumo huo wa GoT HoMIS unavyofanya kazi na kusisitiza kuwa kila kituo cha Afya kinalazimika kufungwa na kutumia mfumo huo kama yalivyo maagizo na maelekezo ya Serikali.


Amesema kuwa Serikali imeandaa mfumo huo muhimu kwa lengo la kumeneji huduma zinazotolewa na hospitali kwa wagonjwa pamoja na kudhibiti mianya ya upotevu wa mapato na dawa zinazoingia na kutolewa kwa wagonjwa.


Ameweka wazi kuwa licha ya mahitaji mengi ya Halmashauri, Halmashauri zinatakiwa kuweka kipaumbele kwenye bajeti zao kwa ajili ya kufunga mifumo hiyo ili kuboresha utoaji na upatikanaji wa huduma za afya zenye ubora kwa wananchi ambalo ndilo lengo kuu la Serikali ya awamu ya sita la kujenga vituo hivyo karibu na maeneo ya wananchi.


"Kupitia mfumo huo tutapata takwimu sahihi za wagonjwa, wanaohudumiwa kwa siku, matibabu waliyopatiwa, dawa walizotumia pamoja na kiasi cha fedha kilichokusanywa, Mfumo huu ni muhimu sana licha ya kuwa wapo wahudumu wasiopenda kuutumia, ifike mahali tuhame kwenye mifumo ya analojia tuingie kwenye utoaji huduma wa Kidigitali kwa kuwa unaokoa muda pia" Ameweka wazi Mhe. Mongella


Awali Mkuu huyo wa Mkoa ametembelea na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Hospitali hiyo ya wilaya mradi unatekelezwa na Serikali kwa gharama ya zaidi ya Bilioni 3.5 lengo likiwa ni kusogeza utoaji na upatikanaji wa huduma za afya karibu na wanachi


Ikumbukwe kuwa, ujenzi wa Hospitali za wilaya ni Utekelzaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM, Ibara ya 81 Ujenzi na Ukarabati wa Vituo vya Kutolea Huduma ya Afya ikiwa ni pamoja na ujenzi wa Hospitali za Wilaya nchini

Matangazo

  • TANGAZO LA RATIBA YA UCHAGUZI NA UANDIKISHAJI WA UCHAGUZI. September 26, 2024
  • TANGAZO LA UANDIKISHAJI VIJANA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA. October 01, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI.2. September 29, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI. September 29, 2024
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • NGORONGORO MSTARI WA MBELE KUHIMIZA MATUMIZI YA NISHATI SAFI.

    May 09, 2025
  • KISIMA CHA MAJI SAFI KUCHIMBWA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA NGORONGORO

    April 25, 2025
  • ZIARA YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI TARAFA YA NGORONGORO.

    April 28, 2025
  • WANAFUNZI 576 WA KIDATO CHA SITA KUFANYA MTIHANI WA TAIFA NGORONGORO.

    May 06, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Afisa kilimo Ngorongoro aeleza na kufafanua namna ya kupata mazao yenye afya na mbegu bora kutumia katika kilimo.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Upimaji darasa la Nne 2019
  • Taarifa na Matangazo
  • Mikataba na Miongozo
  • machapisho mbalimbali
  • Habari kwa umma
  • Taarifa kwa Umma
  • JINSI YA KUPATA SALARY SLIP
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA ELIMU YA KATI NA VYUO VYA UFUNDI JUNE 2019.
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 NGORONGORO

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Rais
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • NGORONGORO DC YOUTUBE CHANEL
  • MATOKEO YA UPIMAJI DARASA LA NNE 2019 WILAYA YA NGORONGORO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.