TANGAZO KWA WANANCHI WOTE
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro anawatangazia wananchi wote kuwa tarehe 24.8.2019
kutafanyika mkutano wa kawaida wa baraza la Madiwani la Halmashauri kwa robo ya nne kwa Mwaka wa fedha 2018/2019
Mkutano utaanza saa tatu kamili asubuhi kwenye ukumbi wa Halmashauri ,Hivyo basi wananchi wote mnaalikwa kuhudhuria kwenye mkutano huo
KARIBUNI SANA
Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.