Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro anapenda kuwatangaIa wananchi wote kuwa kutakuwa na Mkutano wa Baraza la Madiwani tarehe 10.09.2023 utakaofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro kuanzia saa 2:00 Asubuhi.
Wananchi wote mnakaribishwa
Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.