• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhamira
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji na Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Kata
      • Loliondo
        • Ololosokwan
        • Soitsambu
        • Enguserosambu
        • Maalon
        • Oloirien Magaiduru
        • Piyaya
        • Orgosorok
        • Oloipir
        • Arash
      • Ngorongoro
        • Alailelai
        • Naiyobi
        • Olbalbal
        • Nainokanoka
        • Kakesio
        • Ngorongoro
        • Eyasi
        • Endulen
        • Ngoile
        • Alaitolei
        • Misigyo
      • Sale
        • Sale
        • Malambo
        • Digodigo
        • Oldonyosambu
        • Samunge
        • Pinyinyi
        • Kirangi
        • Engaresero
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezw
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

UFUNGUZI WA JENGO LA POSTA ARUSHA(PAPU TOWER)

Posted on: September 4th, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Hassan Suluhu  ameupongeza Umoja wa Posta Afrika kwa kuleta kichocheo cha maendeleo barani Afrika katika kuimarisha uchumi na kuutaka umoja huo kutumia mfumo mmoja wa utoaji huduma za maduka mtandao.

Rais Samia aliyasema hayo Jijini Arusha wakati  akizundua jengo la kisasa lenye ghorofa 17 la Umoja Posta Barani  Afrika ambalo litakuwa likitoa huduma mbalimbali yakiwemo Maofisi,kumbi za Mikutano pamoja na shughuli za biashara ikiwemo  Migahawa mikubwa.

Rais Dkt.Samia amesema tangu kuanzishwa kwa Umoja wa Posta Barani Afrika, Serikali imechukua hatua mbalimbali kwa kuipitia sera yake ya maendeleo ya Posta ikiwemo kubuni huduma mbadala.

"Posta ina nafasi kubwa sana katika maendeleo ya Nchi ikiwemo utengenezaji wa mfumo wa anuani za makazi kwa Mitaa kupewa majina"

Anuani  milioni 12,700 ziliweza kukusanya ikiwemo mfumo wa Napa kwa baadhi ya Taasisi zimeanza kuutumia mfumo huo ikiwemo mfumo wa Utoaji Huduma mbalimbali kutumia One Stop Border.

Aidha,alisema matumizi ya Biashara Mtandao yanaenda kwa kasi kwa kushirikiana na sekta binafsi hivyo ni lazima sasa Posta ijikite zaidi katika kuleta mapinduzi ya kieletroniki.

Vile vile Dkt.Samia alisisitiza umoja huo kutumia zaidi mashirika ya ndani ya ndege badala ya kutumia mashirika ya nje  kwani kwa kufanya hivyo watakuwa wanayajengea uwezo wa kujiendesha kifaida hasa kwa kutumia mfumo mmoja wa  wautoaji huduma za maduka mtandao.

Akitoa historia ya maendeleo ya Mawasiliano Dunia, Dkt.Samia alisema miaka ya zamani mawasiliano yalikuwa yakifanyika zaidi kwa njia ya mdomo pia kupitia njia ya kuwatuma wanyama na kufikia karne ya 18 mawasiliano yalainza kupitia huduma za Posta kwa njia ya baharini,magari ili kufikisha barua.

Aidha,Dkt.Samia alisema mafanikio ya umoja wa Posta Afrika na hatimaye kuwa na Jengo kubwa ambalo limezinduliwa ni matunda ya utekelezaji wa ndoto za Viongozi wa Wakuu wa Afrika wakiwemo kina Mwl.Julius Kambarage Nyerere, Kwame Nkrumah na kina Kenneth Kaunda na ndoto hiyo imetimia kwani Umoja huu unaendelea kuimarika zaidi.

Awali ,Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema uzinduzi wa jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU) unamaanisha mageuzi ya kidigitali katika utoaji wa huduma za Posta barani Afrika.

 Waziri Nape alisema wao kama Mawaziri wa Kisekta toka Nchi wanachama watahakikisha wanaweka vipaumbele vya kuimarisha umoja wa Posta Afrika  kwaajili yakongeza kasi ya maendeleo Barani Afrika.

 "juzi kulikuwa na Jukwaa la Viongozi Mawaziri wa Utoaji Huduma za Posta Barani Afrika,lenye tija na alisisitiza kuendelea kushirikiana na mawaziri wengine katika kuiamrisha njia za ushiriki wa sekta binafsi katika kukuza sekta hiyo".Alisema Waziri Nape

Waziri Nape alisema ni wakati wa Nchi za Bara la Afrika kufanya biashara na kushikamana kwa pamoja na hakuna sababu kwa Nchi za Afrika kuendelea kubaki maskini kwani kupitia umoja huo wa Posta ambao waasisi walitumia kama chombo cha ukombozi wa Nchi nyingi za Afrika Kisiasa hivyo adhma ile ile itumike kulikomboa bara la Afrika kiuchumi

Alisema Shirika la Posta kwa kaushirikiana na PAPU wamechapisha stempu kwaajili ya kutumika katika barua na zinaonyesha aina mbalimbali za stempu katika nchi za Afrika kwa ajili ya kulitangaza jengo la umoja huo pamoja na vivutio mbalimbali vya Utalii vinavyopatikana Barani Afrika.

"Posta imefanya mageuzi makubwa kutoka kuwa sehemu ya kutuma barua na sasa kuwa ya kidigitali zaidi na stempu hizo zitaenda kuitangaza nchi za PAPU Dunia nzima"

Aidha, Nnauye alisema kwa dunia ya sasa Posta inaenda kuwa sehemu ya kutuma na kupokea mizigo ya aina yote na ndiomaana serikali iliamua kutekeleza utoaji wa postcode nchi nzima.

Huku Katibu Mkuu wa Umoja huo,Sifunde Chief Moyo alishukuru jengo hilo kujengwa nchini Tanzania kutokana na Tanzania kuwa mstari wa mbele katika ukombozi wa Nchi nyingi za kusini na akaongeza kwa kusema kuwa ukiwa ndani ya Jengo hilo unaona Mlima Mkubwa Barani Afrika ,Mlima Kilimanjaro na Mlima Meru hivyo jengo hilo litaleta chachu ya ushirikiano kwa nchi za PAPU.

Huku Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella alimshukuru kujengwa kwa Jengo hilo ambalo linaongeza uzuri wa madhari ya Jiji la Arusha.

Matangazo

  • TANGAZO LA RATIBA YA UCHAGUZI NA UANDIKISHAJI WA UCHAGUZI. September 26, 2024
  • TANGAZO LA UANDIKISHAJI VIJANA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA. October 01, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI.2. September 29, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI. September 29, 2024
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • NGORONGORO MSTARI WA MBELE KUHIMIZA MATUMIZI YA NISHATI SAFI.

    May 09, 2025
  • KISIMA CHA MAJI SAFI KUCHIMBWA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA NGORONGORO

    April 25, 2025
  • ZIARA YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI TARAFA YA NGORONGORO.

    April 28, 2025
  • WANAFUNZI 576 WA KIDATO CHA SITA KUFANYA MTIHANI WA TAIFA NGORONGORO.

    May 06, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Afisa kilimo Ngorongoro aeleza na kufafanua namna ya kupata mazao yenye afya na mbegu bora kutumia katika kilimo.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Upimaji darasa la Nne 2019
  • Taarifa na Matangazo
  • Mikataba na Miongozo
  • machapisho mbalimbali
  • Habari kwa umma
  • Taarifa kwa Umma
  • JINSI YA KUPATA SALARY SLIP
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA ELIMU YA KATI NA VYUO VYA UFUNDI JUNE 2019.
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 NGORONGORO

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Rais
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • NGORONGORO DC YOUTUBE CHANEL
  • MATOKEO YA UPIMAJI DARASA LA NNE 2019 WILAYA YA NGORONGORO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.