Kaimu Mkurugenzi Bw.Victor Kaiza akimkaribisha mgeni rasmi Mh.Rahid Mfaume Taka Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro kwenye ufunguzi rasmi wa mashindano ya Mbwamwitu Cup 2018 katika viwanja vya Shule ya Msingi Wasso
Mh.Rashid Mfaume Taka Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro akiwasili katika viwanja vya shule ya Msingi Wasso katika Mji wa Wasso Loliondo
Mgeni Rasmi Mh.Rashid Taka Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro ,akiambatana na Viongozi wengine wakikagua timu ya Kurugenzi FC nna Serengeti FC kabla ya mechi kuanza
Mh.Rashid Taka (Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro)Mgeni Rasmi akijiandaa kupiga Penati kama ishara ya ufunguzi rasmi wa mashindano ya MBWAMWITU 2018
Mgeni Rasmi akikagua Timu zote mbili ya Mkurugenzi FC na Serengeti FC kabla ya mechi kuanza
Timu ya Kurugenzi FC wakiwa katika picha ya pamoja
Timu ya Serengeti FC wakiwa katika picha ya pamoja
Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.